aaaah dogo katisha!!!Ha ha kwangu maeneo niliyohamia karibuni,nikawaambia dogo marufuku kula kwa watu,sasa kuna jirani mmoja tunaitana kaka/dada, dogo huwa anaenda huko kucheza,akikaribishwa anawaambia baba kanikataza kura kwa watu,sasa siku moja nipo nae tunapita hapo tukawakuta wanakula,dogo akaambiwa karibu chakura,dogo akaawambia silagi kwa watu mimi baba kanikataza,daah niliona noma balaa....
mkuu avatar yako inasadiki yaliyomo,,simlaumu binti yako....
Kama hujawahi kumkanya kuhusu kupokea vyakula hovyo hovyo utalaumu kizazi bure kumbe tatizo ni wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajitahidi kumsimamia ale ashibekuna
Hajawahi kufundishwa kusema hapana, na haitaishia kwenye vyakula tu itaenda mbali zaidiHali
Hali sana ila ukimpa kitu au ukimkaribisha hajui neno hapana
Mtoto anaacha chakura hom,ila akiona wenzake na yeye anataka kura tena,kuna watoto wengine mpka umuite watoto wengine ndiyo na yeye anakula.Mwqche tu ale. Ukiona ivyo humshibishi.
Pia zamani si unajia waafrica tulikuwa na ushirikina sana, siku hizi hizi imani sio kma zaman.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajawahi kufundishwa kusema hapana, na haitaishia kwenye vyakula tu itaenda mbali zaidi