Utokaji wa mbegu za kiume(speed)

Utokaji wa mbegu za kiume(speed)

Gody

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Posts
1,246
Reaction score
413
Habari, wanajamvi

Naomba msaada mpaka sasa bado mwenzenu sijabahatika kupata mtoto.

Swali langu ni; Je, nikishaanza kutoa mbegu(kupiz) huwa haziruki zinatoka kama vile unamimina maji kutoka kwenye kikombe kwenda chini, sasa naweza mpa mke wangu ujauzito?

Kuna watu wanasema haiwezekani lakini inasemekana kuwa hata ukigusisha tu uume mbegu zinachungulia m/ke anaweza kupata mimba!

Naombeni msaada wa maelezo kwa kina!

Asanten!
 
Nenda hospitali wewe na mkeo mkafanyiwe vipimo kujuwa nini sababu ya kutokuzaa kwenu halafu uje tukupe ushauri

Ndio maana niliuliza hilo swali tu mkuu @Iyokopo tulishaenda huko tukaambia hamna tatizo ndio maana mimi niliuliza hilo tu swali la Speed mkuu!!
 
Habari, wanajamvi
naomba msaada mpaka sasa bado mwenzenu sjabahatika kupata mtoto
Swali langu ni Je,
nikishaanza kutoa mbegu(kupiz) huwa haziruki zinatoka kama vile unamimina maji kutoka kwenye kikombe kwenda chini, sasa naweza mpa mke wangu ujauzito?
Kuna watu wanasema haiwezekani lkn inasemekana kuwa hata ukigusisha tu uume mbegu zinachungulia m/ke anaweza kupata mimba!
Naombeni msaada wa maelezo kwa kina!!
ASanten!!

Nenda Hosp. Speed siyo issue. Kuna wanawake hata ukipaka shahawa juu ya kuta za uke zinaenda na anapata mimba. Uume wowote unaoweza kuingia kwenye uke na kumwaga shahawa ndani kwa mtoko wowote ule unaweka mimba. Sasa inategemea tu Sperm count na fertility ya mwanamke.
 
Mkuu ukiwa una do na mamsap wewe relax tu. Usiwe una do huku ukiweka akilini kwako kuwa na do ili wife apate mimba, hapana. Mimba huwa zinaingia ukiwa/mkiwa wote hamna stress.
 
nimekupata mkuu haya ndio majibu nilikuwa nataka kuyapata, Hosptl tulishakwenda volume ndo ilikuwa chini
nikapata dawa sasa kili kitu kilikuwa poa,
ni hilo tu ambalo nililoliuliza ndo nilikuwa na mashaka nalo!!
 
Asante kwa ushauri mkuu na kunitia Moyo kwa hilo!!
 
Ndio maana niliuliza hilo swali tu mkuu @Iyokopo tulishaenda huko tukaambia hamna tatizo ndio maana mimi niliuliza hilo tu swali la Speed mkuu!!

Hapa umenijibu kuwa ulishaenda hospitali na ukaambiwa huna tatizo lolote.

nimekupata mkuu haya ndio majibu nilikuwa nataka kuyapata, Hosptl tulishakwenda volume ndo ilikuwa chini
nikapata dawa sasa kili kitu kilikuwa poa,
ni hilo tu ambalo nililoliuliza ndo nilikuwa na mashaka nalo!!

Hapa tena unasema ulishaenda hospitali ukaambiwa volume ndo ilikuwa chini.

Sasa mkuu hujiamini kwenye maelezo yako mara huna tatizo mara una tatizo.

Kwa kifupi una low sperm count yaani mbegu zako ni chache. Fanya yafuatayo:
1. Kula tikiti maji kila siku, kama unaweza kula zima peke yako
2. Kaanga kidogo mbegu za maboga na uwe unakula kila siku ujazo wa kama vijiko vikubwa 3 kila siku
3. Tumia asali na mdalasini vijiko 2 kila uendapo kulala
4. Acha vileo, acha vinywaji baridi vya viwandani
5. Usifanye mapenzi kila mara, jaribu kupumzika kama wiki 2 hivi halafu ulale na wife kwenye zile siku zake hatari kabisa za kupata ujauzito.
6. Kunywa maji mengi mpaka lita 3.7 kila siku.

Fanya yote haya kwa mwezi mmoja halafu utaniambia matokeo.
 
Ninapo sema kuwa walisema sina tatzo ni baada ya kupata dawa, lkn Before nilikuwa na tatzo sjakataa kweli labda nimechanganya maelezo hapo juu!
Baada sasa ya kumaliza dose na kurudia vipimo teena hosptal 2 tofauti kulionekana hakuna tatzo kabisa lkn Utokaji wake mpaka sasa si kuruka bali zinatoka kawaida kaka, sjui kama nimeelewaka?

lkn pia nashukuru kwa ushauri wako kama Tiba hapo juu maana ni moja kati ya yaliyonileta hapa Jf-Dr. Ubarikiwe!!
 
Usisahau pia kula ugali wa dona na siyo sembe na utaona hata kojo linakuwa zito na jingi.

Ni hayo tu kwa sasa
 
Kama wote hamna tatizo zingatieni tarehe za yai kupevuka,pia msiwe na stress kabisa ,akili zenu zitulie kabisa mnapokutana msikamie sana kwamba mimba inaingia,siku itakayoingia hamtajua
 
Habari, wanajamvi
naomba msaada mpaka sasa bado mwenzenu sjabahatika kupata mtoto
Swali langu ni Je,
nikishaanza kutoa mbegu(kupiz) huwa haziruki zinatoka kama vile unamimina maji kutoka kwenye kikombe kwenda chini, sasa naweza mpa mke wangu ujauzito?
Kuna watu wanasema haiwezekani lkn inasemekana kuwa hata ukigusisha tu uume mbegu zinachungulia m/ke anaweza kupata mimba!
Naombeni msaada wa maelezo kwa kina!!
ASanten!!
Mkuu tatizo la kutoruka manii bado unalo mpaka Leo?
 
hilo sio jibu la swali langu mkuu,
anyway ntakujibu hivyo hivyo !
Naomba kuuliza ukienda hosptl kufanya Sperm analysis na ukaambiwa manii zinahitajika huwa unatumia njia gani ili zifike maabara!???
Naomba kujua mkuu ni njia ipi inatumika kupata sperm za kupeleka hospitali kwa ajili ya vipimo, ili siku nikiambiwa nisiumbuke
 
Mi najua speed inatoka kubwa sana kile kipindi cha balehe. Unaweza kurusha kitu hadi nyumba ya jirani. Lakini umri unavyozidi kwenda ile speed hupungua hadi kufikia level haziruki tena. Ukiona haziruki haiihitaji ramli kujua kwamba utu uzima umekuingilia
 
Back
Top Bottom