Nenda hospitali wewe na mkeo mkafanyiwe vipimo kujuwa nini sababu ya kutokuzaa kwenu halafu uje tukupe ushauri
Habari, wanajamvi
naomba msaada mpaka sasa bado mwenzenu sjabahatika kupata mtoto
Swali langu ni Je,
nikishaanza kutoa mbegu(kupiz) huwa haziruki zinatoka kama vile unamimina maji kutoka kwenye kikombe kwenda chini, sasa naweza mpa mke wangu ujauzito?
Kuna watu wanasema haiwezekani lkn inasemekana kuwa hata ukigusisha tu uume mbegu zinachungulia m/ke anaweza kupata mimba!
Naombeni msaada wa maelezo kwa kina!!
ASanten!!
Shauri ya mipunyeto yenu ya kila siku. Umejeuaje zinatoka kama unamimina gundi?
Ndio maana niliuliza hilo swali tu mkuu @Iyokopo tulishaenda huko tukaambia hamna tatizo ndio maana mimi niliuliza hilo tu swali la Speed mkuu!!
Bora umenisaidia, kazionaje?
Afu, kwani anashindwa kumpa ujauzito mkewe?
Nenda Hosp. Speed siyo issue. Kuna wanawake hata ukipaka shahawa juu ya kuta za uke zinaenda na anapata mimba. Uume wowote unaoweza kuingia kwenye uke na kumwaga shahawa ndani kwa mtoko wowote ule unaweka mimba. Sasa inategemea tu Sperm count na fertility ya mwanamke.
Ndio maana niliuliza hilo swali tu mkuu @Iyokopo tulishaenda huko tukaambia hamna tatizo ndio maana mimi niliuliza hilo tu swali la Speed mkuu!!
nimekupata mkuu haya ndio majibu nilikuwa nataka kuyapata, Hosptl tulishakwenda volume ndo ilikuwa chini
nikapata dawa sasa kili kitu kilikuwa poa,
ni hilo tu ambalo nililoliuliza ndo nilikuwa na mashaka nalo!!
Hapa umenijibu kuwa ulishaenda hospitali na ukaambiwa huna tatizo lolote.
Hapa tena unasema ulishaenda hospitali ukaambiwa volume ndo ilikuwa chini.
Sasa mkuu hujiamini kwenye maelezo yako mara huna tatizo mara una tatizo.
Kwa kifupi una low sperm count yaani mbegu zako ni chache. Fanya yafuatayo:
1. Kula tikiti maji kila siku, kama unaweza kula zima peke yako
2. Kaanga kidogo mbegu za maboga na uwe unakula kila siku ujazo wa kama vijiko vikubwa 3 kila siku
3. Tumia asali na mdalasini vijiko 2 kila uendapo kulala
4. Acha vileo, acha vinywaji baridi vya viwandani
5. Usifanye mapenzi kila mara, jaribu kupumzika kama wiki 2 hivi halafu ulale na wife kwenye zile siku zake hatari kabisa za kupata ujauzito.
6. Kunywa maji mengi mpaka lita 3.7 kila siku.
Fanya yote haya kwa mwezi mmoja halafu utaniambia matokeo.
Ninapo sema kuwa walisema sina tatzo ni baada ya kupata dawa, lkn Before nilikuwa na tatzo sjakataa kweli labda nimechanganya maelezo hapo juu!
Baada sasa ya kumaliza dose na kurudia vipimo teena hosptal 2 tofauti kulionekana hakuna tatzo kabisa lkn Utokaji wake mpaka sasa si kuruka bali zinatoka kawaida kaka, sjui kama nimeelewaka?
lkn pia nashukuru kwa ushauri wako kama Tiba hapo juu maana ni moja kati ya yaliyonileta hapa Jf-Dr. Ubarikiwe!!
Mkuu ukiwa una do na mamsap wewe relax tu. Usiwe una do huku ukiweka akilini kwako kuwa na do ili wife apate mimba, hapana. Mimba huwa zinaingia ukiwa/mkiwa wote hamna stress.
Mkuu tatizo la kutoruka manii bado unalo mpaka Leo?Habari, wanajamvi
naomba msaada mpaka sasa bado mwenzenu sjabahatika kupata mtoto
Swali langu ni Je,
nikishaanza kutoa mbegu(kupiz) huwa haziruki zinatoka kama vile unamimina maji kutoka kwenye kikombe kwenda chini, sasa naweza mpa mke wangu ujauzito?
Kuna watu wanasema haiwezekani lkn inasemekana kuwa hata ukigusisha tu uume mbegu zinachungulia m/ke anaweza kupata mimba!
Naombeni msaada wa maelezo kwa kina!!
ASanten!!
Naomba kujua mkuu ni njia ipi inatumika kupata sperm za kupeleka hospitali kwa ajili ya vipimo, ili siku nikiambiwa nisiumbukehilo sio jibu la swali langu mkuu,
anyway ntakujibu hivyo hivyo !
Naomba kuuliza ukienda hosptl kufanya Sperm analysis na ukaambiwa manii zinahitajika huwa unatumia njia gani ili zifike maabara!???