Utokaji wa mbegu za kiume(speed)

asante kwa ushauri lkn huwa natumia hizo tamu
 
kumbe....
 
asante mkuu ndio maana nikaja hapa nikiwa naiman jf ni mkusanyiko wa watu wengi na wangine ni zaidi ya madoctor!.
Mawazo ya kupata mtoto ndio ya nakusumbua,relax usiwe na wasiwasi,kama utaambiwa huna tatzo, wewe jarbu mara kadhaa utapatia tu. Wakati unatoa mbegu jarbu kupeleka deep sana hata inasaidia.
 
Mawazo ya kupata mtoto ndio ya nakusumbua,relax usiwe na wasiwasi,kama utaambiwa huna tatzo, wewe jarbu mara kadhaa utapatia tu. Wakati unatoa mbegu jarbu kupeleka deep sana hata inasaidia.

NAKUSHUKURU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…