Utoko hupanua uke

kimanuamanua

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
80
Reaction score
15
Nimesoma kwenye jarida moja kuhusu utoko na hasara/faida zake...

"Utoko unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi asubuhi"

Kwani utoko ni nini?
 
Utoko yale majimaji yatokayo kwenye uchi wa mwanamke
 
utoko ni majimaji mazito meupe yanayotoka kwenye k, yapo kama maziwa ya mgando.Ila sidhani kama kuna ukweli wowote kwenye ilo lakupanua uke
 
Du! Hilo jina la Utoko nilisikia miaka mingi sanaaa.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Utoko ni ute mzito mweupe(as maziwa mtindi) kiafya kama hayana harufu wala rangi kama ya njano or brownish hayana madhara yoyote

kizazi huwa kinajisafisha chenyewe throughout out your calender na kiafya haishauriwi kujitia vidole ndani ya uchi/tupu na kujitoa ute huo mzito kwani pia una bakteria maalum kwa kulinda uke

haimanishi usijisafishe ila safisha vizuri mashavu ya uke pamoja na mikunjo yake kiungalifu na umakini mkubwa kwa maji ya kutosha bila sabuni.
 
Najaribu tu kufikiria kizembe...hivi hii habari kama ni kweli si wanawake wangekuwa na nyuchi pana kiasi wengine zingekuwa zaelekea kitovuni...
 
utoko unaleta kinyaa ukiukuta kwenye K wakati wa kunani hii
 
Nimesoma kwenye jarida moja kuhusu utoko na hasara/faida zake...

"Utoko unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi asubuhi"

Kwani utoko ni nini?
Mbona kuna mengi ya kuandika sasa hili la nini. Unamdhalilisha hata mama yako ujue. Tuwe makini katika kuandika mambo mengine maana hili halina mantiki ila kutukana wanawake!
 
hapo kwenye red.....watu hawazingatii.....wanabania maji kwenye kujiswafi uko......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…