Utoko hupanua uke

Utoko hupanua uke

Ingekuwa hivyo basi wajawazito wangekua hawazai kwa oparesheni asubuhi na vile vile tungekuwa hatuwadinyi wake zetu alfajiri make tungekutana na mtaro wa dawasco.
 
Utoko ni ute mzito mweupe(as maziwa mtindi) kiafya kama hayana harufu wala rangi kama ya njano or brownish hayana madhara yoyote

kizazi huwa kinajisafisha chenyewe throughout out your calender na kiafya haishauriwi kujitia vidole ndani ya uchi/tupu na kujitoa ute huo mzito kwani pia una bakteria maalum kwa kulinda uke

haimanishi usijisafishe ila safisha vizuri mashavu ya uke pamoja na mikunjo yake kiungalifu na umakini mkubwa kwa maji ya kutosha bila sabuni.

Umejibu vizuri sana kwani kujisafisha kwa kujitia vidole unaondoa wale normal flora waliopo eneo lile kwa ajili ya ulinzi then inakuwa rahisi sana kupata maambukizi kama vile candidiasis, Chlamydia Trachomatis etc
 
najaribu tu kufikiria kizembe...hivi hii habari kama ni kweli si wanawake wangekuwa na nyuchi pana kiasi wengine zingekuwa zaelekea kitovuni...
watu8 najua kipanuacho uke ni manii kama hujiswafi vizuri. Madame B , Chocs, mimi49, na wengine je ni kweli. Makungwi ndio wananena hayo.
 
Last edited by a moderator:
Jarida moja ndio nini? Weka reference hapa acha longolongo. Stori za chitchat usiweke humu jf dr!
Nimesoma kwenye jarida moja kuhusu utoko na hasara/faida zake...

"Utoko unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi asubuhi"

Kwani utoko ni nini?
 
Mbona kuna mengi ya kuandika sasa hili la nini. Unamdhalilisha hata mama yako ujue. Tuwe makini katika kuandika mambo mengine maana hili halina mantiki ila kutukana wanawake!
Mbona hakuna alipotikana yeye ameuliza swali na wengine wanaweza kunufaika kutokana na majibu atakayo pewa
 
Back
Top Bottom