Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoko ni ute mzito mweupe(as maziwa mtindi) kiafya kama hayana harufu wala rangi kama ya njano or brownish hayana madhara yoyote
kizazi huwa kinajisafisha chenyewe throughout out your calender na kiafya haishauriwi kujitia vidole ndani ya uchi/tupu na kujitoa ute huo mzito kwani pia una bakteria maalum kwa kulinda uke
haimanishi usijisafishe ila safisha vizuri mashavu ya uke pamoja na mikunjo yake kiungalifu na umakini mkubwa kwa maji ya kutosha bila sabuni.
Uko sahihi Mkuu!Najaribu tu kufikiria kizembe...hivi hii habari kama ni kweli si wanawake wangekuwa na nyuchi pana kiasi wengine zingekuwa zaelekea kitovuni...
Ingekuwa hivyo basi wajawazito wangekua hawazai kwa oparesheni asubuhi na vile vile tungekuwa hatuwadinyi wake zetu alfajiri make tungekutana na mtaro wa dawasco.
Nimesoma kwenye jarida moja kuhusu utoko na hasara/faida zake...
"Utoko unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi asubuhi"
Kwani utoko ni nini?
Mbona hakuna alipotikana yeye ameuliza swali na wengine wanaweza kunufaika kutokana na majibu atakayo pewaMbona kuna mengi ya kuandika sasa hili la nini. Unamdhalilisha hata mama yako ujue. Tuwe makini katika kuandika mambo mengine maana hili halina mantiki ila kutukana wanawake!