Utopolo kusikia wamepangiwa Al Hilal akili zimewaruka, nyie si mnasema mna kikosi cha Man City

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Habari kwamba Utopolo inacheza na Al Hilal zimepokewa kwa masikitiko makubwa sana na jamaa zetu wa pale jangwani, hawaamini macho yao, wakiangalia usajili walioufanya wa mamilioni halafu timu waliyopangiwa nayo wanaona shughuli imekwisha.

Yaani huko mitaani habari ndio hiyo, kuwa bora waendelee kudanganya mashabiki wao kwa kucheza ndondo za ndani na kuifunga Simba basi, huko nje biashara ngumu. Ngumu sana. Tunaita ngumu kumeza.

Yaani kwenye betting siku ya mchezo wa marudiano kule Sudan naweka milioni Al Hilali anapiga Handicap, kudadeki.

Mmetutukana sana Simba, mlikuwa mnawasaidia wageni kwa kwenda kuwapokea na kuwaambia kuwa sisi tunaweka sumu kwenye vyumba, sisi tunatumia nguvu za giza, sisi tunacheza sana mpira nje kuliko ndani, Leo mmevaba, nasikia mmeomba kikao na uongozi wa mnyama msaidiwe kimataifa, nawaambia viongozi wetu kama wanataka balaa basi washirikiane nao, wao c wanadai wana timu bora, wanasema hawajafungwa siku ya laki moja Leo, na hakuna wa kuwafunga.

Nyie subirini mcheze na mnyama mshinde mshangilie, sisi tumeshavuka huko, hata mkienda bungeni kuomba msaada hakuna, oktoba sio mbali, Ibenge kiboko yenu.
 
Sijaona Shabiki wa Yanga amefungua uzi humu kuhusu 1°Agosto ila hawa wenzetu kila baada ya saa moja uzi unaletwa kuhusu Al Hillaly wengine wamejifanya wana Yanga wengine waganga waekienyeji na tabiri in short wameumia Yanga haijatoka kama walivyo kua wanapenda kwa Mungu alivyo fundi subirini tuone kitakacho tokea huko mbele
 
Hivi hao Al hilal ni waume zenu, mbona mnakuwa kama matahira fulani hivi wasiojielewa? Mmekazana na kitimu chenu icho mlichoazima kiwape furaha lakini furaha hiyo amtoipata na mtajificha kusikojulikana, yanga hawana muda wa kukaa kuongelea upuuzi wenu huo lakini naona mnawashwa sana na mnahitaji kukunwa, Mwanaume unakuwa kama mtoto wa kike ovyo kabisa
 
Habari kwamba Utopolo inacheza na Al Hilal zimepokewa kwa masikitiko makubwa sana na jamaa zetu wa pale jangwani, hawaamini macho yao, wakiangalia usajili walioufanya wa mamilioni halafu timu waliyopangiwa nayo wanaona shughuli imekwisha.

Yaani huko mitaani habari ndio hiyo, kuwa bora waendelee kudanganya mashabiki wao kwa kucheza ndondo za ndani na kuifunga Simba basi, huko nje biashara ngumu. Ngumu sana. Tunaita ngumu kumeza.

Yaani kwenye betting siku ya mchezo wa marudiano kule Sudan naweka milioni Al Hilali anapiga Handicap, kudadeki.

Mmetutukana sana Simba, mlikuwa mnawasaidia wageni kwa kwenda kuwapokea na kuwaambia kuwa sisi tunaweka sumu kwenye vyumba, sisi tunatumia nguvu za giza, sisi tunacheza sana mpira nje kuliko ndani, Leo mmevaba, nasikia mmeomba kikao na uongozi wa mnyama msaidiwe kimataifa, nawaambia viongozi wetu kama wanataka balaa basi washirikiane nao, wao c wanadai wana timu bora, wanasema hawajafungwa siku ya laki moja Leo, na hakuna wa kuwafunga.

Nyie subirini mcheze na mnyama mshinde mshangilie, sisi tumeshavuka huko, hata mkienda bungeni kuomba msaada hakuna, oktoba sio mbali, Ibenge kiboko yenu.
Tuma salamu kwa watu watatu..
Simba guvu moya[emoji123][emoji123]
 
Sijaona Shabiki wa Yanga amefungua uzi humu kuhusu 1°Agosto ila hawa wenzetu kila baada ya saa moja uzi unaletwa kuhusu Al Hillaly wengine wamejifanya wana Yanga wengine waganga waekienyeji na tabiri in short wameumia Yanga haijatoka kama walivyo kua wanapenda kwa Mungu alivyo fundi subirini tuone kitakacho tokea huko mbele
Ismail Aden Rage anastahili kujengewa mnara! Imagine unakuwa rais wa klabu, halafu unaongoza mashabiki mbumbumbu kama huyu mtoa mada!!

Aisee ningecharaza viboko. Nisingeweza kabisa kuvumilia watu wa aina hii. Bila shaka hata mashabiki wenzake wanajisikia aibu kumsapoti kwenye huu ujinga wake alio uandika hapa.
 
Kipindi kile walikuaga na kelele hizi hizi wametubeba , UD Songo wakachomoa tulio bebwa tuka baki subiri uje uone kitakacho tokea this time around
 
Sijaona Shabiki wa Yanga amefungua uzi humu kuhusu 1°Agosto ila hawa wenzetu kila baada ya saa moja uzi unaletwa kuhusu Al Hillaly wengine wamejifanya wana Yanga wengine waganga waekienyeji na tabiri in short wameumia Yanga haijatoka kama walivyo kua wanapenda kwa Mungu alivyo fundi subirini tuone kitakacho tokea huko mbele
Halafu kweli mkuu

Sijauona huo uzi hapa

Sijui Simba wanawaza nini
 
Habari kwamba Utopolo inacheza na Al Hilal zimepokewa kwa masikitiko makubwa sana na jamaa zetu wa pale jangwani, hawaamini macho yao, wakiangalia usajili walioufanya wa mamilioni halafu timu waliyopangiwa nayo wanaona shughuli imekwisha.

Yaani huko mitaani habari ndio hiyo, kuwa bora waendelee kudanganya mashabiki wao kwa kucheza ndondo za ndani na kuifunga Simba basi, huko nje biashara ngumu. Ngumu sana. Tunaita ngumu kumeza.

Yaani kwenye betting siku ya mchezo wa marudiano kule Sudan naweka milioni Al Hilali anapiga Handicap, kudadeki.

Mmetutukana sana Simba, mlikuwa mnawasaidia wageni kwa kwenda kuwapokea na kuwaambia kuwa sisi tunaweka sumu kwenye vyumba, sisi tunatumia nguvu za giza, sisi tunacheza sana mpira nje kuliko ndani, Leo mmevaba, nasikia mmeomba kikao na uongozi wa mnyama msaidiwe kimataifa, nawaambia viongozi wetu kama wanataka balaa basi washirikiane nao, wao c wanadai wana timu bora, wanasema hawajafungwa siku ya laki moja Leo, na hakuna wa kuwafunga.

Nyie subirini mcheze na mnyama mshinde mshangilie, sisi tumeshavuka huko, hata mkienda bungeni kuomba msaada hakuna, oktoba sio mbali, Ibenge kiboko yenu.

Idiot wabongo katika ubora wake
 
Afu niye ndo wale mnasema uzalendo..!!
 
Watu aina kama yako lazima demu wako au mke unachapiwa sana.
 
Back
Top Bottom