Simba SC ndio university ya football Tanzania, hili halina ubishi.Watalia Sana mwaka huu.walijifanya wanazijua Sana pesa kuliko simba. Tupelekane mperampera tu hivyo hadi mbabe atajulikana.View attachment 2311176
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ndio manana halisi ya another level.Yanga sijui watabadilika lini. Wao wanafanya mambo yao kumkomoa au kushindana na Simba. Lakini sasa Simba hana muda na Yanga. Wao Simba wanataka kufikia level za vilabu vikubwa Afrika kama Al ahly, Zamalek, Casablanca n.k. Hivyo vilabu ndio vinafanya Simba afanye kila kitu anachokifanya
Kila jambo ni hatua, tulianza makundi tukafika, tukaja robo fainali..tumefika, then tunaenda nusu fainali..tutafika, hatimaye fainali na tutabeba hilo kundi.Kujiweka kwenye Levo za Al Ahally FC ni umbumbumbu bila ya kombe la WANAUME la klabu Bingwa Afrika.
Tayari kinyesi kimejaa kwenye pampas kabadili harakaTunaipongeza Simba yetu kwa udhamini huu mnono, tusisahau kuwakumbushia zile B20 za mwamedi ili tujumlishie na hizi 26 ziwe 46 tuendeshee timu yetu tumpige gepu jirani yetu maana wanatamba sana
Ndio maana halisi ya utopolo.Jamaa anakaba hadi penati, hakuna cha CEO wala nani, kila kitu yeye. Senzo akaona isiwe taabu!
View attachment 2311210
Na saizi bumbuli anafuataJamaa anakaba hadi penati, hakuna cha CEO wala nani, kila kitu yeye. Senzo akaona isiwe taabu!
View attachment 2311210
poleMa- V fc mna kusebu sebu na kiroho papo
Nasikia wako kila sehemu wanatafuta wavujishe ila bila bilaBado Sindano za jezi. Kazi wanayo miaka hii mitano
hapo ,,hapo,,hapo ndo Uto wanapozidiwa mambo mengi na Simba mnyama.Simba haishindani na mtu, inashindana na malengo yake makubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabla ya hapo simba ilikuwa na thamani hiyo ya kupewa bilioni 5 kwa mwaka!? Si walikuwa simba na yanga wanapokea milioni mia 9 kwa mwaka.
Tukiacha unazi, BAKHRESA(kupitia AZAM TV) na MO(kwa SIMBA), wanahitaji pongezi kubwa saana, yanga walichokipata kuna nguvu kuwa ya mafanikio ya simba, ukitizama kwa miaka ya karibuni hakuna yanga amefanya mtu awekeze kiasi kikubwa vile.
Na nina imani sport Pesa alitaka kuwapa wote kwa pamoja kiasi kile kile, simbA akagoma.
Thamani ya mpira bongo imepanda kupitia azamtv na simba,
Umaarufu wa ligi ya bongo umepanda sababu ya simba