Kabla ya hapo simba ilikuwa na thamani hiyo ya kupewa bilioni 5 kwa mwaka!? Si walikuwa simba na yanga wanapokea milioni mia 9 kwa mwaka.
Tukiacha unazi, BAKHRESA(kupitia AZAM TV) na MO(kwa SIMBA), wanahitaji pongezi kubwa saana, yanga walichokipata kuna nguvu kuwa ya mafanikio ya simba, ukitizama kwa miaka ya karibuni hakuna yanga amefanya mtu awekeze kiasi kikubwa vile.
Na nina imani sport Pesa alitaka kuwapa wote kwa pamoja kiasi kile kile, simbA akagoma.
Thamani ya mpira bongo imepanda kupitia azamtv na simba,
Umaarufu wa ligi ya bongo umepanda sababu ya simba