Utopolo msituletee makasiriko yenu. Simba SC ni next level, sijui mtaelewa lini..

Utopolo msituletee makasiriko yenu. Simba SC ni next level, sijui mtaelewa lini..

Yanga sijui watabadilika lini. Wao wanafanya mambo yao kumkomoa au kushindana na Simba. Lakini sasa Simba hana muda na Yanga. Wao Simba wanataka kufikia level za vilabu vikubwa Afrika kama Al ahly, Zamalek, Casablanca n.k. Hivyo vilabu ndio vinafanya Simba afanye kila kitu anachokifanya
Ndio manana halisi ya another level.
 
Tunaipongeza Simba yetu kwa udhamini huu mnono, tusisahau kuwakumbushia zile B20 za mwamedi ili tujumlishie na hizi 26 ziwe 46 tuendeshee timu yetu tumpige gepu jirani yetu maana wanatamba sana
Tayari kinyesi kimejaa kwenye pampas kabadili haraka
 
Jamaa anakaba hadi penati, hakuna cha CEO wala nani, kila kitu yeye. Senzo akaona isiwe taabu!

1659366881615.png
 
Hata ukichukua mkataba wa miaka 3 wa simba na m-bet bado wanaizidi Yanga 2 bilioni
 
Nasikia wako kila sehemu wanatafuta wavujishe ila bila bila
Hawawezi kuacha kuhangaika, tatizo Simba SC this time mambo yamefanyika Ulaya... sio kule walipopazoea.


Hii ndio maana ya Taifa Kubwa.
 
Hata ukichukua mkataba wa miaka 3 wa simba na m-bet bado wanaizidi Yanga 2 bilioni
Huu ukweli ndio unawauma mpaka wanalazimisha kutunga kila aina ya uongo ili wajiliwaze.
 
Shida kila sehemu ni siasa, na sisi kwa upuuzi tunashabikia. Tumeona hii mikataba ya Simba na Yanga? Au tunafurahia figures tu? Ndio maana tunapigwa sana na wanasiasa, huwa hatuna uwezo wa kuhoji.
 
Mkuu usiamini sana unachoonyeshwa kwenye Tv hasa ukiwa hapa Tz.
Anyway soma tena.
 
Kabla ya hapo simba ilikuwa na thamani hiyo ya kupewa bilioni 5 kwa mwaka!? Si walikuwa simba na yanga wanapokea milioni mia 9 kwa mwaka.

Tukiacha unazi, BAKHRESA(kupitia AZAM TV) na MO(kwa SIMBA), wanahitaji pongezi kubwa saana, yanga walichokipata kuna nguvu kuwa ya mafanikio ya simba, ukitizama kwa miaka ya karibuni hakuna yanga amefanya mtu awekeze kiasi kikubwa vile.
Na nina imani sport Pesa alitaka kuwapa wote kwa pamoja kiasi kile kile, simbA akagoma.

Thamani ya mpira bongo imepanda kupitia azamtv na simba,
Umaarufu wa ligi ya bongo umepanda sababu ya simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Simba SC hatuna wa kufanana naye, tumeamua kuruka kivyetu" - Ahmed Ally.
 
Back
Top Bottom