Itakuwa unamzungumzia Makame na moh linger😂Wale miili mikubwa ubongo dagaa
Simba A 2-0 Simba BMechi ya jana na leo huwezi kuona mtu analaumiwa ni kiroho safi ,jana utopolo na kagera mechi ya utata.
Leo Simba imeshinda kiroho safi hata utopolo wanaona aibu kubebwa
Wapumbavu wa karne,simba imecheza hakuna fujo,foul au kupendelewa ,utopolo mnajionaje?,kama mnabisha leteni ushahidi,wajinga kabisa
Tuwekane sawa hapaAzam ni Tako moja B
Hapo wote rinda ulitafute kwa tochiTuwekane sawa hapaView attachment 1495552
Nakukumbusha Morrison alicheza dakika 45 tuuuWananchi 4:2-8
Nao baada ya kusikia habari zile za kushtua ya kwamba wanakutana na mnyama wakafadhaika sana mioyoni mwao. Tazama ndipo mmoja wao akapaza sauti na kusema "Ee Morrison tunakuhitaji Sana katika kipindi iki" naye Morrison baada ya kuwasikia akasema " Enyi wananchi msinililie mimi, walilieni viongozi wenu na refa aliyewapeleka nusu fainali. Kwa maana ubaya na hila zao hakika ni aibu kwenu" Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake
Mechi tarehe ngapi vile? Maana wewe Ndugu yangu huwa hukawii kupotea....matokeo yajayo ni 2-0...mark my wordsWananchi 4:2-8