Utopolo ni genge la wahuni

Utopolo ni genge la wahuni

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Mechi ya jana na leo huwezi kuona mtu analaumiwa ni kiroho safi, jana utopolo na Kagera mechi ya utata.

Leo Simba imeshinda kiroho safi hata utopolo wanaona aibu kubebwa

Simba imecheza hakuna fujo, foul au kupendelewa, utopolo mnajionaje?

Kama mnabisha leteni ushahidi
 
Natabiri mechi ya Simba vs Yanga, huenda yanga wakafungwa magoli kama azam fc walivyofungwa leo
 
Ukweli kwa mpira wanaocheza Simba wako mbali sana hata sevilla walivyosaini mkataba na utopolo walifiri level ya mpira Tanzania ipo sawa ila wakiangalia video za mikanda ya mpira wanaweza kuvunja mkataba na utopolo
 
Mechi ya jana na leo huwezi kuona mtu analaumiwa ni kiroho safi ,jana utopolo na kagera mechi ya utata.

Leo Simba imeshinda kiroho safi hata utopolo wanaona aibu kubebwa

Wapumbavu wa karne,simba imecheza hakuna fujo,foul au kupendelewa ,utopolo mnajionaje?,kama mnabisha leteni ushahidi,wajinga kabisa
Simba A 2-0 Simba B
 
Wananchi 4:2-8

Nao baada ya kusikia habari zile za kushtua ya kwamba wanakutana na mnyama wakafadhaika sana mioyoni mwao. Tazama ndipo mmoja wao akapaza sauti na kusema "Ee Morrison tunakuhitaji Sana katika kipindi iki" naye Morrison baada ya kuwasikia akasema " Enyi wananchi msinililie mimi, walilieni viongozi wenu na refa aliyewapeleka nusu fainali. Kwa maana ubaya na hila zao hakika ni aibu kwenu" Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake
 
Azam ni Tako moja B
Tuwekane sawa hapa
2438422_FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Wananchi 4:2-8

Nao baada ya kusikia habari zile za kushtua ya kwamba wanakutana na mnyama wakafadhaika sana mioyoni mwao. Tazama ndipo mmoja wao akapaza sauti na kusema "Ee Morrison tunakuhitaji Sana katika kipindi iki" naye Morrison baada ya kuwasikia akasema " Enyi wananchi msinililie mimi, walilieni viongozi wenu na refa aliyewapeleka nusu fainali. Kwa maana ubaya na hila zao hakika ni aibu kwenu" Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake
Nakukumbusha Morrison alicheza dakika 45 tuuu
 
Kweli Utopolo fc ndo mana mnaitwa Vyura fc, Yani mchezaji ambaye ametoka kuwapanda kichwani afu anakuja mazoezi mnasema muongeze sauti wakati kuna wachezaji ambao hata hawajalipwa lakini wanaendelea kuipambania timu hamjawahi kuwaposta kuwa sifia.
Endeleeni kuongeza sauti sisi Mabingwa tuna ongeza sauti za kuchukua zawadi za ubingwa, tumeanza Jana kwa sport pesa tunafuata tareh 8 kule Lindi
 
Tshishimbi ambaye ni raia wa DR Congo
alisema: “Hao wanaosema nimegoma
wana msongo wa mawazo, nigome sasa
wakati mambo mazuri, kama kugoma
ningegoma huko nyuma mambo
yalipokuwa hovyo, nilikuwa naumwa na
sasa naanza kurejea kwa maelekezo ya
madaktari.”
 
Wananchi 4:2-8

Nao baada ya kusikia habari zile za kushtua ya kwamba wanakutana na mnyama wakafadhaika sana mioyoni mwao. Tazama ndipo mmoja wao akapaza sauti na kusema "Ee Morrison tunakuhitaji Sana katika kipindi iki" naye Morrison baada ya kuwasikia akasema " Enyi wananchi msinililie mimi, walilieni viongozi wenu na refa aliyewapeleka nusu fainali. Kwa maana ubaya na hila zao hakika ni aibu kwenu" Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake
Mechi tarehe ngapi vile? Maana wewe Ndugu yangu huwa hukawii kupotea....matokeo yajayo ni 2-0...mark my words
 
Huko kote mlibebwa haya rudi nipe feedback

Back
Top Bottom