Utopolo watapeliwa; Kambole ni majeruhi wa muda mrefu

Huyu ndio yule alivishwa taulo kama trailer ya utambulisho wake kusubiria muda rasmi watu wajue ni nani

Aliwalaza wananchi mida mibovu kusubiria saa 6 atambulishwe.

Halafu huyu si ndio alisainishwa mkataba wa miezi 6, ina maana katika ile 6 tayari miwili isha yeyuka

Isije ikawa wametumia "majeruhi" kama conspirancy kukatisha mkataba wake baada ya kuona hafai.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni jambo zuri kama atasajiliwa mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha la usajili kufungwa rasmi.

Maana walitakiwa kumpima afya kwanza huyo mchezaji, na kujiridhisha kama mchezaji yuko fit! Hivyo katika hili, nakubali viongozi wa Yanga walipuyanga.
Ambaye huyo mshambuliaji hatashiriki mashindano ya Club bingwa

Labda kama mtalipia faini ya $5,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…