Utopolo watapeliwa; Kambole ni majeruhi wa muda mrefu

Utopolo watapeliwa; Kambole ni majeruhi wa muda mrefu

Kambole anapokua fit ni mchezaji mzuri na ndio maana Yanga awakusitq kumsajili na kumpa mkataba wa miezi 6 tu,wala silaumu kihivyo maana usajili wake ulikua 50/50 yoka hapo awali kutokana na rekodi yake
Screenshot_20220828-163912_Gallery.jpg
 
Ni jambo zuri kama atasajiliwa mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha la usajili kufungwa rasmi.

Maana walitakiwa kumpima afya kwanza huyo mchezaji, na kujiridhisha kama mchezaji yuko fit! Hivyo katika hili, nakubali viongozi wa Yanga walipuyanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bigirimana pia ni mgonjwaa, wakumbushe viongozi wako huko.

Maskini weee hadi unalia, uwiiiioh
 
Ndio maana tunaitwa makolo au mambumbumbu ndio nimeelewa zaidi sababu kambole kaanza mazoezi
 
Ndio maana tunaitwa makolo au mambumbumbu ndio nimeelewa zaidi sababu kambole kaanza mazoezi
Ataanzaje mazoezi miezi miwili kati ya sita ya mkabata imeisha pia alisajiliwa mzima
Au mlinunua mbuzi kwenye gunia kwi kwi
 
Back
Top Bottom