Utoto katika mapenzi!

Dah,kumbe humu kuna mpaka watoto zetu..ngojea waje vijana wenzio kukupa ushauri baba!
 
Hiyo tabia ya kuambiana mambo ipo kwa ke wengi sana, mimi nilikua na slim mshangazi ana rafiki yake ambae tuna ukaribu pia. Nikaja kugundua kila tunachokifanya lazima amwambie rafiki yake, nilijua baada ya kuwa kila nikizingua kitu fulani shangazi akikwazika yule rafiki yake ananijulisha ili nisiharibu zaidi kwa kigezo cha kuwa anapenda mahusiano yetu.

Kuna siku huyu shem akaniambia jambo fulani na kusema kabisa aliona kwenye chats zetu, nikajisemea hapa hakuna usalama nikapata sababu ya kutokumtafuta, zimebaki lawama tu.
 
Hivi kati ya mwenye miaka 20 na huyu wa 30, nani mtoto..!!! Ukijiona kila unayeanza naye mahusiano unamuona ana utoto, jichunguze, inawezekana kabisa mwenye utoto ni wewe..!! Isije ikawa unakimbia kivuli chako.
 
Yeah iko hivyo kwangu mbaya zaidi anaona yuko sawa tu . Mfno umempa hichi au mlivyofanya anafikisha tena home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…