UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Thabit Karim

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
393
Reaction score
735
Habari wadau. Nimewekeza kama 10m kwenye bond fund. Jana nimeona imeongezeka km elfu 30 kwenye account ya UTT.

Lakini pia nilijaza NMB account ndiyo niwe napata gawio langu na niliwekeza tarehe 26/8/2022, kwaiyo bado sina vigezo vya kupata gawio kwa mwezi huu, nafikiri mpaka mwezi ujao.

Sasa hii elfu 30 kwenye account ya UTT imetoka wapi, msaada kwa anaejua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…