A_Girl_Child
Member
- Jul 25, 2022
- 39
- 76
Kipande kimoja ni shilingi ngapi?Inategemea una vipande vingapi. Huu mfuko minimum ni vipande 88,394. So chukua sh 1 X 88,394 vipande....unapata sh ngapi. Kuna watu wanavipande mpk 100,000,000. Fatilia bro usikurupuke
Kipande 1 bei ganInategemea una vipande vingapi. Huu mfuko minimum ni vipande 88,394. So chukua sh 1 X 88,394 vipande....unapata sh ngapi. Kuna watu wanavipande mpk 100,000,000. Fatilia bro usikurupuke
853Kipande kimoja ni shilingi ngapi?
Milioni 100 unapata vipande vingapi?Wakuu Jana nimefanikiwa kupata gawio la mwezi kwa mara ya kwanza tokea nilipowekeza.
Asante wadau wote mlionipa taarifa kuhusu UTT AMIS. Ndugu wanaosita kuwekeza huko wafanye hivyo kwani hawa jamaa ni real
View attachment 2383160
Kipande 1=853Milioni 100 unapata vipande vingapi?
Kipande 1=853Milioni 100 unapata vipande vingapi?
100M÷853=11,296 VipandeMilioni 100 unapata vipande vingapi?
Oooh hesabu tatizo100M÷853=11,296 Vipande
Hiyo bei ni ya kipande cha mfuko wa Umoja. Kipande cha bond ni Tsh 113Kipande 1=853
Kama ni hivyo, hiyo biashara haifai
Kipande kimoja ni shilingi ngapi?
Hawa hata certificate yao sikumbuki Iko wapi..... Nilikuwa na vipande 1000 nikuzaga 900 nilibakiza 100. Miaka mingi 2008 huko.Wakuu Jana nimefanikiwa kupata gawio la mwezi kwa mara ya kwanza tokea nilipowekeza.
Asante wadau wote mlionipa taarifa kuhusu UTT AMIS. Ndugu wanaosita kuwekeza huko wafanye hivyo kwani hawa jamaa ni real
View attachment 2383160
Huku hakukufai mkuu, wewe nenda kafanye biashara nyingine, sisi tunatembea na principles za wealth creation.Mkuu tsh. 1! Bora kubet
Unapata taarifa za uwekezaji wako daily na unaona fedha zinavyoongezeka dailyTunaaminije maana wengi wameogopa sana hizi mambo
na je kuwekeza ni kuanzia sh. ngapi?
ExactlyKama anavipande 50,000 maana yake imeongezeka Tsh 50,000. Inategemeana na idadi ya vipande