UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Wakuu Jana nimefanikiwa kupata gawio la mwezi kwa mara ya kwanza tokea nilipowekeza.

Asante wadau wote mlionipa taarifa kuhusu UTT AMIS. Ndugu wanaosita kuwekeza huko wafanye hivyo kwani hawa jamaa ni real
View attachment 2383160
Hawa hata certificate yao sikumbuki Iko wapi..... Nilikuwa na vipande 1000 nikuzaga 900 nilibakiza 100. Miaka mingi 2008 huko.
 
Back
Top Bottom