UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

UTT Amis ni sahihi na sio utapeli ila mpaka umueleze mtu anayetegemea Maguire ajifunge ndio apate hela ni vigumu sana akakuelewa. Ndio maana watu tukilalamika kina Kalynda kwanini hawafungiwi, sasa ona mifuko ya serikali inayofanya kazi tangu 2006 ikipata faida na haijawahi tapeli mtu inakuwa overshadowed na platforms za kitapeli zinazoibuka na kupotea kila miezi mitatu.

Chukulia mfano una hela milioni 20, hutaki kuiwekeza kwenye biashara maana una kazi zako ofisini zinakubana au ushawekeza unabakiza hela ya emergency mambo yasiponyooka, ukisema utunze hiyo hela haiongezeki thamani na labda inakuwa na makato. Hapo ndio unaiweka UTT Amis. Ninavyoielewa kwa machache iko hivi:

Ni low risk investment ambayo ina low return. Hufanyi kazi unatunziwa hela tu, vipande unavyonunua vinaongezeka thamani. Je wao wanafaidika vipi na kutunza hela zako?
Wao ni wataalamu wa uchumi na biashara wanafanya analysis na kukopesha au kuwekeza biashara zinazoleta faida. Badala ya wewe uingie DSE kununua hisa za CRDB, NMB, TBL, TOL, Jatu au nani unachanganyikiwa na huna uelewa basi unaweka hela UTT wao wanafanya portfolio kuwekeza sehemu za uhakika na tofauti. Wakiunganisha gawio au mrejesho wanaopata sehemu tofauti ndio wanakupatia kiasi chake ambacho kwa mwaka unaweza pata mara nyingi ni 11% ya hela uliyoweka.

Ukitaka kuwekeza lazima utumie muda kusoma au kuelekezwa. Hufyatuki tu kama Kalynda wanakupa link za YouTube ukiuliza kidogo wanakwambia "hujaona ITV wanatangaza, mbona mimi nimepokea hela, hujaona mabango yetu, si tuna ofisi na tumesajiliwa na BRELA".

Mimi binafsi siwezi weka hela UTT, ninao muda wa kuifanyia investment mwenyewe na hiyo hela kwanza sina. Ila sio dumb kusema ni matapeli, bongo hamna holding companies na hedge funds kama Berkshire Hathaway ya mzee Buffett, kilichomfanya awe ni billionaire ni hiki. Ila kama unataka hela ya haraka huku sio mahali pako. Na uzuri hawatumii nguvu kukuita, nadhani marketing yao haiko vizuri sana.
 
yani waafrika alietulogaa alikufaaa
Jamani hizi ni long term plans. Mfano kwa walio private sector sababu kazi sio garantee unaweka milioni 50 huko by the time you are 60 inakua kama NSSF yako, au unaweza waachia watoto kama trust fund. Its just a backup plan haimaanishi hutafanya mambo mengine ya kukuingizia hela.
 
Waste of money and time... yani hai reflect hata inflation rate..
Kwa nini majina ya ajabu kama vipande. Watu bado wanalea majeraha ya Kalynda, tena anajitokeza mwingine na utapeli. Kwanza hilo jina vipande ni tosha kuanza kuwa na shaka. Ebu tuelrze wenye kampun ni nani na wako wapi, maana wasijekuwa nje ya nchi ambapo hatuwapata wakiisha tuibia. Ukiskia kuna kampuni inalipa riba tosha kwa mwezi juwa uk karibu kuliwa. Watatoa mgao kuhaKIkisha watu wanawaamini. Baadaye watapandisha dau au watu kuongeza dau kwa sababu walikuwa wakipata elfu kumi, ishirini, thelathini. Tukishaanza kuamini tunaamuwa faida ibaki hukohuko ili dau liwe kubwa. Wengine wataongeza mtaji. Kufumba na kufumbua mtaambiwa ofisi zimefungwa, wahusika hawaonekani. CHUNGA SANA.
 
Tatizo kubwa la waafrika ni ubishi usiokuwa na maana yotote UTT Wana mifuko sita, thamani ya vipande inatofautiana, mtoa madam amezungumzia Bond fund ambapo bei ya kipande ni sh. 114 , amesema Kila kipande gawio ni sh. 1, sasa inategemea una vipande vingapi. Narudia tena tusiwe wabishi tutafute taarifa sahihi kwenye vyanzo sahihi.
kama kipande ni sh 800 na unapata sh 1 kwa kipande, inamaana interest ni 0.00125%. afsdhali kucheze sportspesa, maana huko una uhakika kuwa kushinda siyo lazima.
 
Watu km hawa hata hua siwajibu. Mtu haelewi anachoongea. Yani kaka umemjibu sawa lkn inahitaji umtoe mbali huyu ili akuelewe. Kwa majibu uliyompa still hawezi kukuelewa
shillingi moja kwa mwezi siyo kubwa, maana i sawa na interest ya 1.5%. Kwa nini usipeleke benki ukaweka kwenye fixed savih account ambao inteest yao ni juu. Kwa sinunue bond za benki kuu nao wana interest kubwa. Unapoeza mudakwnye vibanda umiza bila kujuwa.
 
Tatizo kubwa la waafrika ni ubishi usiokuwa na maana yotote UTT Wana mifuko sita, thamani ya vipande inatofautiana, mtoa madam amezungumzia Bond fund ambapo bei ya kipande ni sh. 114 , amesema Kila kipande gawio ni sh. 1, sasa inategemea una vipande vingapi. Narudia tena tusiwe wabishi tutafute taarifa sahihi kwenye vyanzo sahihi.
Labda umeishauizwa, unatafuta wa kulia na wewe.
 
UTT Amis ni sahihi na sio utapeli ila mpaka umueleze mtu anayetegema Maguire ajiunge ndio apate hela ni vigumu sana akakuelewa. Ndio maana watu tukilalamika kina Kalynda kwanini hawafungiwi, sasa ona mifuko ya serikali inayofanya kazi tangu 2006 ikipata faida na haijawahi tapeli mtu inakuwa overshadowed na platforms za kitapeli zinazoibuka na kupotea kila miezi mitatu.

Chukulia mfano una hela milioni 20, hutaki kuiwekeza kwenye biashara maana una kazi zako ofisini zinakubana au ushawekeza unabakiza hela ya emergency mambo yasiponyooka, ukisema utunze hiyo hela haiongezeki thamani na labda inakuwa na makato. Hapo ndio unaiweka UTT Amis. Ninavyoielewa kwa machache iko hivi:

Ni low risk investment ambayo ina low return. Hufanyi kazi unatunziwa hela tu, vipande unavyonunua vinaongezeka thamani. Je wao wanafaidika vipi na kutunza hela zako?
Wao ni wataalamu wa uchumi na biashara wanafanya analysis na kukopesha au kuwekeza biashara zinazoleta faida. Badala ya wewe uingie DSE kununua hisa za CRDB, NMB, TBL, TOL, Jatu au nani unachanganyikiwa na huna uelewa basi unaweka hela UTT wao wanafanya portfolio kuwekeza sehemu za uhakika na tofauti. Wakiunganisha gawio au mrejesho wanaopata sehemu tofauti ndio wanakupatia kiasi chake ambacho kwa mwaka unaweza pata mara nyingi ni 11% ya hela uliyoweka.

Ukitaka kuwekeza lazima utumie muda kusoma au kuelekezwa. Hufyatuki tu kama Kalynda wanakupa link za YouTube ukiuliza kidogo wanakwambia "hujaona ITV wanatangaza, mbona mimi nimepokea hela, hujaona mabango yetu, si tuna ofisi na tumesajiliwa na BRELA".

Mimi binafsi siwezi weka hela UTT, ninao muda wa kuifanyia investment mwenyewe na hiyo hela kwanza sina. Ila sio dumb kusema ni matapeli, bongo hamna holding companies na hedge funds kama Berkshire Hathaway ya mzee Buffett, kilichomfanya awe ni billionaire ni hiki. Ila kama unataka hela ya haraka huku sio mahali pako. Na uzuri hawatumii nguvu kukuita, nadhani marketing yao haiko vizuri sana.
Asante bosi. Umeeleza vizuri sana!
Mimi nimeelewa!
 
Kwa nini majina ya ajabu kama vipande. Watu bado wanalea majeraha ya Kalynda, tena anajitokeza mwingine na utapeli. Kwanza hilo jina vipande ni tosha kuanza kuwa na shaka. Ebu tuelrze wenye kampun ni nani na wako wapi, maana wasijekuwa nje ya nchi ambapo hatuwapata wakiisha tuibia. Ukiskia kuna kampuni inalipa riba tosha kwa mwezi juwa uk karibu kuliwa. Watatoa mgao kuhaKIkisha watu wanawaamini. Baadaye watapandisha dau au watu kuongeza dau kwa sababu walikuwa wakipata elfu kumi, ishirini, thelathini. Tukishaanza kuamini tunaamuwa faida ibaki hukohuko ili dau liwe kubwa. Wengine wataongeza mtaji. Kufumba na kufumbua mtaambiwa ofisi zimefungwa, wahusika hawaonekani. CHUNGA SANA.
Nenda shule bro hujui kitu.
 
Je value of money ivested in UTT inaendana na return inayotolewa? Pia how about other factors kama inflation tunayoiona Tanzania kwa kipindi hiki, matokeo yake ni depreciation. Huoni kama mfano umewekeza million 10 kwa miaka kadhaa, na unapata return ya 11% kwa mwaka. Katika swala la depretion huoni kama inflation na value of money havitoendana pale utakapoitoa. Hela ya baadae haiwezi kuwa na thamani ya hela amayo ungekuwa nayo leo. .
Mtazamo tu, nakubali kukosolewa. .
 
Bado hailipi; kwa mtu anayejua biashara, hapo atakuwa anapoteza

Elewa lengo la mtu kwenda kuweka fedha UTT maana yake. Yaani kwa kitendo tu cha mtu kuelewa chimbo km hili usitegemee huyo mtu ni mbumbumbu na ambae hana biashara. Mm nafanya biashara kadhaa na nina vyanzo vingi vya mapato. Hii milioni 10 niliyowekeza utt ni hela ambayo hua nafanyia biashara ya mazao. Kwa mwaka huu biashara ya mazao haieleweki. So nikaamua kuskip. Nikiweka hela yangu benki itakua ni hela mfu. Ndo nikaamua niwekeze huku UTT ili at least nipate chchte mpk mwakani. Muwe mnajarabu kufikiria mbali basi.
 
Kwa nini majina ya ajabu kama vipande. Watu bado wanalea majeraha ya Kalynda, tena anajitokeza mwingine na utapeli. Kwanza hilo jina vipande ni tosha kuanza kuwa na shaka. Ebu tuelrze wenye kampun ni nani na wako wapi, maana wasijekuwa nje ya nchi ambapo hatuwapata wakiisha tuibia. Ukiskia kuna kampuni inalipa riba tosha kwa mwezi juwa uk karibu kuliwa. Watatoa mgao kuhaKIkisha watu wanawaamini. Baadaye watapandisha dau au watu kuongeza dau kwa sababu walikuwa wakipata elfu kumi, ishirini, thelathini. Tukishaanza kuamini tunaamuwa faida ibaki hukohuko ili dau liwe kubwa. Wengine wataongeza mtaji. Kufumba na kufumbua mtaambiwa ofisi zimefungwa, wahusika hawaonekani. CHUNGA SANA.

Hopeless. Poor. Kwa kifupi ulichoandika ni [emoji2961][emoji2961]. Km hujui kitu ni bora ukatulia
 
Back
Top Bottom