kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 987
- 766
Kipande kimoja Shilingi ngapi?Kama ana vipande 50,000 maana yake imeongezeka Tsh 50,000. Inategemeana na idadi ya vipande
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipande kimoja Shilingi ngapi?Kama ana vipande 50,000 maana yake imeongezeka Tsh 50,000. Inategemeana na idadi ya vipande
Wastage of money Bora kalyinda
Biashara ya kipumbavu kwa mtu anayetafuta utajiri ila ni biashara salama kwa tajiri anayetaka kulinda utajiri wake
Halafu pia rejea mada yako kule juu...Ulisema umefanikiwa kupata gawio baada ya kuwekeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katikati unaanza kujisemea eti umehifadhi(na unaamua kubishania na watu hapo[emoji23]) Acha janja janja mkuu.
Rejea andiko lako huko. Au umesahau maneno yako? Ama hata kuEdit huko juu hujui?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poor you.
Biashara ya kipumbavu kwa mtu anayetafuta utajiri ila ni biashara salama kwa tajiri anayetaka kulinda utajiri wake
Ulisema huko UTT umehifadhi tu pesa zako na sio biashara.Unaelewa jinsi compound interest inavyofanya Kazi? Nilinunua vipande kwa 113tsh nna uwezo wa kuuza anytime nikitaka tena saiv naona Bei ya vipande inapanda. Imefika 114tsh. Akili yako inakutuma kwmb kwa sababu nimenunua tsh 114 na ninapata gawio la tsh 1 kwa Kila kipande basi ni hasara. Unashindwa kuelewa ktk huu mfumo Kuna kununua na kuuza vipande[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ama kweli Kuna watu mazuzu. Guys elimikeni kwnz kabla hujatokwa na povu. Aibu hii
Ulisema huko UTT umehifadhi tu pesa zako na sio biashara.
Lakini hapa unasema umenunua vipande UTT kila kimoja sh 113. Na pia unasema unaweza kuuza hivyo vipande wakati wowote ukitaka.
Hebu niambie hicho ulichokifanya kama sio biashara ni nini?
Utasema hiyo ni "investment". Kwani investment siyo aina fulani ya biashara??????
Ndugu yangu, let me take you back to school just a little bit.
What is business and what is investment?
The simplified answer is Investments and business are similar in that both need you to commit some money in anticipation of future profit or benefit. The key difference, however, is that in business; you are actively involved in management while in investments, your role is more passive.
Hellow !! Upo? Au utataka nikutafsrie?? [emoji23][emoji23]
Ndugu yangu, kubali tu kuwa unachokifanya huko UTT ni aina fulani ya BIASHARA ambayo sisi tunaona faida yake ni NDOGO SANA ukilinganisha na muda na kiwango cha uwekezaji. Sh, 1 kwa kipande???? No way man!!!! That is bullshit business.

Hahaahhaahha...Haya Brother, kwamba haya hayatuhusu sisi wanyonge[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ungetuExclude mapema sasa![emoji134][emoji23]Brother hili andiko linawahusu watu ambao wanaijua vzr UTT. Kwa wanaijua vzr utt na mifuko yake hawahitaji niseme unachokitaka niseme. Km huijui UTT ni vzr kwnz kuijua hlf ndo uje hapa. Na huwez kuijua kwa sababu hujafika ktk level za muwekezaji. Tafuta pesa kwnz nyingi hlf utaanza kutafuta vitu km hivi[emoji2957][emoji2957][emoji2957]. Huwez kuifaham UTT km huna hela. Na ndo maana ww na wenzio mnabwabwaja vitu msivyojua
Hahaahhaahha...Haya Brother, kwamba haya hayatuhusu sisi wanyonge[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ungetuExclude mapema sasa![emoji134][emoji23]
Kwanini ulileta JamiiForum Mada, ulifikiri hapa ni UTT? hahah...eti Bonge la Dili....eti umeInvest! Mara ghafla unaanza oooh nimehifadhi![emoji23]Nafanya makosa kuongea na mtu ambae hata account number ya UTT hana plus sio mwanachama. Nakosea sana. Tunaongea nn. Nakuelewesha nn wkt hujui A wala B kuhusu UTT
Humu JF bwana...... Unadharau kupata 88,000 kwa mwezi wakati siyo kwamba ndio unayoitegemea kuishi bali ni side income. Unatoka povu kuidharau 88,000 usikute wewe bado kula kulala tena kwa shemeji mme wa dada yako.Kwanini ulileta JamiiForum Mada, ulifikiri hapa ni UTT? hahah...eti Bonge la Dili....eti umeInvest! Mara ghafla unaanza oooh nimehifadhi![emoji23]
Unajitapa kuInvest M10, unajifurahia Elfy 88 kwa Mwezi! [emoji23]...Huoni aibu mbele za wanaume!
Humu JF bwana...... Unadharau kupata 88,000 kwa mwezi wakati siyo kwamba ndio unayoitegemea kuishi bali ni side income. Unatoka povu kuidharau 88,000 usikute wewe bado kula kulala tena kwa shemeji mme wa dada yako.
Na hapo ndio wengi tunachanganya, huu ni uwekezaji na sio biashara, pia haimaanishi kuwa ukiweka pesa huko hufanyi biashara, huko unaweka pesa usiyo na kazi nayo kwa wakati huo ili badala ya kukaa bure bank na kushuka thamani ikae huko huku ikiongezeka.Hi ni biashara ya Watu wasio na akili za upambanaji, yaan wale kula kulala kwa shemej
Vipi kama tayari una hii biashara na biashara nyingine na sasa unaingiza hela tu na unataka kuzihifadhi.Nunua kiwanja au Jenga chumba na sebule self pangisha
Me nadhani umaskini ndio unatufanya tuhamaki mtu kuweka hela huko.Si unayo hiyo 10m nenda kajenge upangishe upate hiyo hela unayotaka. Usitoe alternative kwny plans za watu.
Me nadhani umaskini ndio unatufanya tuhamaki mtu kuweka hela huko.
Wakuu Jana nimefanikiwa kupata gawio la mwezi kwa mara ya kwanza tokea nilipowekeza.
Asante wadau wote mlionipa taarifa kuhusu UTT AMIS. Ndugu wanaosita kuwekeza huko wafanye hivyo kwani hawa jamaa ni real
View attachment 2383160