UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Halafu pia rejea mada yako kule juu...Ulisema umefanikiwa kupata gawio baada ya kuwekeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katikati unaanza kujisemea eti umehifadhi(na unaamua kubishania na watu hapo[emoji23]) Acha janja janja mkuu.

Rejea andiko lako huko. Au umesahau maneno yako? Ama hata kuEdit huko juu hujui?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poor you.

Brother hili andiko linawahusu watu ambao wanaijua vzr UTT. Kwa wanaijua vzr utt na mifuko yake hawahitaji niseme unachokitaka niseme. Km huijui UTT ni vzr kwnz kuijua hlf ndo uje hapa. Na huwez kuijua kwa sababu hujafika ktk level za muwekezaji. Tafuta pesa kwnz nyingi hlf utaanza kutafuta vitu km hivi[emoji2957][emoji2957][emoji2957]. Huwez kuifaham UTT km huna hela. Na ndo maana ww na wenzio mnabwabwaja vitu msivyojua
 
Unaelewa jinsi compound interest inavyofanya Kazi? Nilinunua vipande kwa 113tsh nna uwezo wa kuuza anytime nikitaka tena saiv naona Bei ya vipande inapanda. Imefika 114tsh. Akili yako inakutuma kwmb kwa sababu nimenunua tsh 114 na ninapata gawio la tsh 1 kwa Kila kipande basi ni hasara. Unashindwa kuelewa ktk huu mfumo Kuna kununua na kuuza vipande[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ama kweli Kuna watu mazuzu. Guys elimikeni kwnz kabla hujatokwa na povu. Aibu hii
Ulisema huko UTT umehifadhi tu pesa zako na sio biashara.
Lakini hapa unasema umenunua vipande UTT kila kimoja sh 113. Na pia unasema unaweza kuuza hivyo vipande wakati wowote ukitaka.

Hebu niambie hicho ulichokifanya kama sio biashara ni nini?

Utasema hiyo ni "investment". Kwani investment siyo aina fulani ya biashara??????

Ndugu yangu, let me take you back to school just a little bit.
What is business and what is investment?
The simplified answer is Investments and business are similar in that both need you to commit some money in anticipation of future profit or benefit. The key difference, however, is that in business; you are actively involved in management while in investments, your role is more passive.

Hellow !! Upo? Au utataka nikutafsrie?? 😂😂

Ndugu yangu, kubali tu kuwa unachokifanya huko UTT ni aina fulani ya BIASHARA ambayo sisi tunaona faida yake ni NDOGO SANA ukilinganisha na muda na kiwango cha uwekezaji. Sh, 1 kwa kipande???? No way man!!!! That is bullshit business.
 
Hellow !! Upo? Au utataka nikutafsrie?? [emoji23][emoji23]

Huwez kunielewa. Basi we endelea kufanya biashara yako ambayo sio bullshit. Acha tufanye hii bullshit business. Kubwa ni kwamba siwez kujifunza chchte kutoka kwako kwa sababu hujaelewa lengo la mm kuweka fedha UTT. Na ww pia huwez kujifunza chchte kutoka kwangu kwa sababu nafanya bullshit business kwa mtazamo wako. That's over
 
Ulisema huko UTT umehifadhi tu pesa zako na sio biashara.
Lakini hapa unasema umenunua vipande UTT kila kimoja sh 113. Na pia unasema unaweza kuuza hivyo vipande wakati wowote ukitaka.

Hebu niambie hicho ulichokifanya kama sio biashara ni nini?

Utasema hiyo ni "investment". Kwani investment siyo aina fulani ya biashara??????

Ndugu yangu, let me take you back to school just a little bit.
What is business and what is investment?
The simplified answer is Investments and business are similar in that both need you to commit some money in anticipation of future profit or benefit. The key difference, however, is that in business; you are actively involved in management while in investments, your role is more passive.

Hellow !! Upo? Au utataka nikutafsrie?? [emoji23][emoji23]

Ndugu yangu, kubali tu kuwa unachokifanya huko UTT ni aina fulani ya BIASHARA ambayo sisi tunaona faida yake ni NDOGO SANA ukilinganisha na muda na kiwango cha uwekezaji. Sh, 1 kwa kipande???? No way man!!!! That is bullshit business.

Nitafsirie kaka sijui kiingereza. Lkn pia nipe blueprint kwa ww uliyefanikiwa. Ni vp unaweza kufanya biashara ya 10m ili niache kufanya biashara na UTT[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Brother hili andiko linawahusu watu ambao wanaijua vzr UTT. Kwa wanaijua vzr utt na mifuko yake hawahitaji niseme unachokitaka niseme. Km huijui UTT ni vzr kwnz kuijua hlf ndo uje hapa. Na huwez kuijua kwa sababu hujafika ktk level za muwekezaji. Tafuta pesa kwnz nyingi hlf utaanza kutafuta vitu km hivi[emoji2957][emoji2957][emoji2957]. Huwez kuifaham UTT km huna hela. Na ndo maana ww na wenzio mnabwabwaja vitu msivyojua
Hahaahhaahha...Haya Brother, kwamba haya hayatuhusu sisi wanyonge[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ungetuExclude mapema sasa![emoji134][emoji23]
 
Nafanya makosa kuongea na mtu ambae hata account number ya UTT hana plus sio mwanachama. Nakosea sana. Tunaongea nn. Nakuelewesha nn wkt hujui A wala B kuhusu UTT
 
Kwanini ulileta JamiiForum Mada, ulifikiri hapa ni UTT? hahah...eti Bonge la Dili....eti umeInvest! Mara ghafla unaanza oooh nimehifadhi![emoji23]

Unajitapa kuInvest M10, unajifurahia Elfy 88 kwa Mwezi! [emoji23]...Huoni aibu mbele za wanaume!
 
Humu JF bwana...... Unadharau kupata 88,000 kwa mwezi wakati siyo kwamba ndio unayoitegemea kuishi bali ni side income. Unatoka povu kuidharau 88,000 usikute wewe bado kula kulala tena kwa shemeji mme wa dada yako.
 
Ulichokisema ni kweli tupu. Hawa watakufa maskini. Ninachojua hawana hata mia mbovu mfokoni. Siku dadayao akitimuliwa na wao itabidi waondoke
 
Hi ni biashara ya Watu wasio na akili za upambanaji, yaan wale kula kulala kwa shemej
Na hapo ndio wengi tunachanganya, huu ni uwekezaji na sio biashara, pia haimaanishi kuwa ukiweka pesa huko hufanyi biashara, huko unaweka pesa usiyo na kazi nayo kwa wakati huo ili badala ya kukaa bure bank na kushuka thamani ikae huko huku ikiongezeka.
 
Back
Top Bottom