ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Unaweza ukatajirika kidogo kidogoKivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukatajirika kidogo kidogoKivipi?
Samahani , Uliweka Kiasi gani huko UTT ?Na nyongeza ni kwamba.
Kwa miezi 9 niliyohifadhi nimevuta 795,000/=
Kwa miezi 9 niliyohifadhi nimpata 199,000/= kwa kupanda kwa thamani ya vipande
TOTAL= 994,000/=
Yani nimepata 994,000/= kwa kihifadhi tu huko. Benki nisingepata kitu km ningehifadhi.
But sijui km nilikosea kufanya hii kitu maana biashara zangu ziliyumba kwa miezi hiyo.
Nasubiri kukosolewa[emoji6]
Kwa sSamahani , Uliweka Kiasi gani huko UTT ?
Mi sijui hesabu
Umeweka 10mil
Kila mwezi unapata 80,000
Mwaka mmoja unapata 960,000
Miaka 10 =9,600,000
Au nimekosea wakuu??
Kwa nini majina ya ajabu kama vipande. Watu bado wanalea majeraha ya Kalynda, tena anajitokeza mwingine na utapeli. Kwanza hilo jina vipande ni tosha kuanza kuwa na shaka. Ebu tuelrze wenye kampun ni nani na wako wapi, maana wasijekuwa nje ya nchi ambapo hatuwapata wakiisha tuibia. Ukiskia kuna kampuni inalipa riba tosha kwa mwezi juwa uk karibu kuliwa. Watatoa mgao kuhaKIkisha watu wanawaamini. Baadaye watapandisha dau au watu kuongeza dau kwa sababu walikuwa wakipata elfu kumi, ishirini, thelathini. Tukishaanza kuamini tunaamuwa faida ibaki hukohuko ili dau liwe kubwa. Wengine wataongeza mtaji. Kufumba na kufumbua mtaambiwa ofisi zimefungwa, wahusika hawaonekani. CHUNGA SANA.
Umeongea ukweli wewe ni kama Mimi nimetia huko 150, sina muda wa kufanya biashara Wala hobby, nilijenga nyumba Kwa milioni 200 Kwa miaka 5 ikaisha , nimeweka mpangaji analipa laki nne Tena Kwa taabu , Bora ikae utt mana biashara Ina wenyeweBasi kaiweke benki mkuu.
Tatizo la watu humu ndani wanadhani kila mtu anaeenda kuweka pesa zake UTT anafanya biashara.
Mimi nina milioni 100 zangu, sina muda wa kufanya biashara na sina kipawa cha business, naiweka Liquid fund na kila mwezi inakua inaongezeka by 1 M, tofauti na nikiweka benki (hata kama ni FDA) haiongezeki kwa rate hiyo.
UTT sio biashara. Mwenye talanta ya biashara ni wastage of time kuweka pesa zako UTT, nenda kafanyie biashra pesa yako ikue kwa rate unayotaka wewe
Uliweka sh ngapi????Na nyongeza ni kwamba.
Kwa miezi 9 niliyohifadhi nimevuta 795,000/=
Kwa miezi 9 niliyohifadhi nimpata 199,000/= kwa kupanda kwa thamani ya vipande
TOTAL= 994,000/=
Yani nimepata 994,000/= kwa kihifadhi tu huko. Benki nisingepata kitu km ningehifadhi.
But sijui km nilikosea kufanya hii kitu maana biashara zangu ziliyumba kwa miezi hiyo.
Nasubiri kukosolewa[emoji6]
Nakumbuka kama alisema 10milUliweka sh ngapi????
Samahani , Uliweka Kiasi gani huko UTT ?
Mjinga ni mtu asiyejua kitu ila mpumbavu ni mtu asiyetaka kujua hata baada ya kujuzwa
Uliweka sh ngapi????
mi ikifika tu 100mil naacha kibarua Cha serikari, maana nitakuwa teali hela ya pension nimepata 100mil, na gawio langu nakula 900K kama now navyopokea.. muda ninaotumia kuja kibaruanii, naubadilisha nautumia katika sekta nyingine.

Sasa mkuu umeitoa pesa yote 10mil, unauhakika utaipandishaa na hautoipoteza?
Maana Mimi siwazi kutoa pesa UTT nitakufa nitaziachaa, labda nikifikishaa miaka 70.
IPO next of keenIv UTT mtu akikufa,ndgu wanapata access ya kutoa uwekezaji wake?mana sijaona kwnye terms zao….anaejua tafadhali
Uko mfuko gani?mi ikifika tu 100mil naacha kibarua Cha serikari, maana nitakuwa teali hela ya pension nimepata 100mil, na gawio langu nakula 900K kama now navyopokea.. muda ninaotumia kuja kibaruanii, naubadilisha nautumia katika sekta nyingine.
Sasa mkuu umeitoa pesa yote 10mil, unauhakika utaipandishaa na hautoipoteza?
Maana Mimi siwazi kutoa pesa UTT nitakufa nitaziachaa, labda nikifikishaa miaka 70.
Hakuna kitu kinachoitwa Faida kubwa na RISK FREE ,inabidi uchague moja.Uko mfuko gani?
Mfuko upi wa UTT una faida kubwa na risk free?