UTT una thamani zaidi ya Trillion 1.5

Aisee hii gavoo
99% ya serikali zote duniani,,,,Lazima zikope ndani ya nchi.....na wakopeshaji wakubwa huwa....
  • Benki e.g NMB
  • MIFUKO YA UWEKEZAJI e.g UTT
  • MIFUKO YA PENSHENI e.g PENSHENI
  • MATAJIRI
Na hii mikopo hueshimiwa kwenye malipo kuliko unavyofkiri...
 
Mkuu asante kwa elimu hii nzuri!
Nilikuwa na Changamoto ya kufananisha uwekezaji na UPATU!
Nikikumbuka UPATU ilivyoliza watu miaka ile,moyo ulikuwa mzito kufunguka.
Barikiwa!
 
Mkuu asante kwa elimu hii nzuri!
Nilikuwa na Changamoto ya kufananisha uwekezaji na UPATU!
Nikikumbuka UPATU ilivyoliza watu miaka ile,moyo ulikuwa mzito kufunguka.
Barikiwa!
Karibu
 
Mimi naielewa sanaaa na mambo yenyewe nimeyasoma
Ila sasa kumpa mtu mil 100 ili anipe 12% kwa mwaka tena ni NOMINAL INTEREST RATE daaaah AKILI IMEGOMA.

NB:
Kwa hiyo 12% the REAL INTEREST RATE is 8%...!!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
12%-8%=4%
hii 4% kwa hela unayoiweka akiba for 1 year still ni kubwa...
 
Ndo kwanza umeanza mwezi huu alafu ghafla umegeula mshauri!
 
sijaelewa hapa
Hapo 12% ni Riba ya faida....
mfumuko wa bei wa Tanzania ni 4%
Lakini pia mfumuko halisia kwa baadhi ya bidhaa 6% hadi 8%....
Sasa mfumuko wa bei = kiwango cha kushuka kwa thamani ya hela yako...

So....
Ukichukua
Faida-mfumuko wa bei= faida Baki kama ni chanya,au hasara kama ni hasi....
12-8=4
4% Hii ni faida,,,,

Hata kwa uwepo wa mfumuko wa bei,bado unapata faida...
 
ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…