Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali.
Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya mwenzie na usalama wa pesa pia.
Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya mwenzie na usalama wa pesa pia.