UTT vs Hati fungani za serikali, ipi Bora zaidi kuwekeza?

Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali.

Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya mwenzie na usalama wa pesa pia.

Govt Bond inatoa riba kubwa kidg kuliko UTT Bond .. lakini kwa kifupi huu hapa chini ndio utofaut

1. Kwa upande wa riba UTT Bond utapata around 8 - 12% ya pesa yako kwa mwaka ( inategema na mwaka) so igawe hiyo mara 12 maana utakuwa unaipokea kwa kila mwez ukihitaj.. mfano ukiweka 130m kwa mwaka utakuwa unapata around 12m maana yake kila mwe una 1m

Kwa Govt Bond riba yake ni kubwa kidg hasa kwa uwekezaji wa miaka mingi mfano kuanza 7 kwenda hadi 15.. unaweza ukapata kati ya 10 - 12% inategemea na BOT wakat wanatoa hizo Bonds au pia unaweza kununu kwa mtu anaetaka kuuza Bond yake.. ila utapokea pesa mara mbili kila mwaka so mfano kwa uwekezaji wa hiyo hiyo 130M maana yake utapokea around 6 -6.5m kila baada ya miez sita.. na mwisho wa uwekezaji utarudishiwa pesa yako plus addition ya 1-2% ya pesa ya uwekezaji kama faida ya ziada..

So utaona hapo juu utofaut ni mdogo maana yake kwa aliewekeza 130m kwenye UTT na aliewekeza 130m direct kwa BOT Bonds wa BOT atamzidi wa UTT kama milion hiv au 1.5M sio sana.

Kumbuka kwa UTT account ya Bond wanaiwekeza pesa yako yote pia kwa BOt bonds ndo maana wanaiita Bond account..

Ndo maana the lowest risk account kwa UTT ni Bond account..

Mwisho nitakushauri wekeza UTT kwa sababu zifuatazo

1. Unawea ukaichukua pesa yako kwa haraka zaid na hassle free (anytime). Wakat Kwa uwekezaji wa direct to BOT bonds utaziuza bonds zako kupitia broker. So kuna some fees applied

Pia unaweza ukaitumia UTT bond kama vile second income maana unaweza ukaopokea kila mwez kama mshahara tofaut na BOT bond inabid usubir kila baada ya 6 months

Sababu ingine ni kiasi chako cha fedha kama una chini ya 50m nashauri wekeza UTT ambako unaweza ukawa una top up mtaji. Kuanza 5000. Govt bond hakuna ku toop up.. zikitangazwa zinagombaniwa mnada ukifungwa zinasubiriwa zingine so hata kama ulioata 10m baada ya mwaka au mwez huwez kutop up kwa ile ya kwanza inabid ununue bond mpya ikitangazwa.. UTT hakuna hizo anytime una uza au kununua hisa zako.. maana anaenunua ni UTT wenyewe

Pia BOT bond wana kima cha chini cha uwekezaji UTT kuanzia 5000
 
Hati Fungani ndo sehemu sahihi
 
UTT
 
Asante sana kwa elimu nzuri.
 
Asante sana kwa elimu nzuri

Hivi kote huku unaweza kuwa au kunakuwaga na insurance ya kuweza kukukinga iwapo mambo yataenda mrama?
 
Pia wazoefu watueleze system ya UTT inatoa percent siku za kazi tuu yani (Mon - Fri) au ni siku zote haijalishi ni w/end au public holidays ,Me nna hisi mambo mawili 👇🏻

Moja

Inawezekana system yao haifanyi kazi siku za w/end na public holidays lakini percent ya hizo siku inakuja kuingia siku ya week itakayofuata

Mbili

Inawezekana system yao imelenga kutoa percent kwa siku za kazi tuu yani (Mon-Fri)

Wenye uzoefu zaidi watakuja kutupa mwanga
 
Pia wazoefu watueleze system ya UTT inatoa percent siku za kazi tuu yani (Mon - Fri) au ni siku zote haijalishi ni w/end au public holidays ,Me nna hisi mambo mawili [emoji1313]

Moja

Inawezekana system yao haifanyi kazi siku za w/end na public holidays lakini percent ya hizo siku inakuja kuingia siku ya week itakayofuata

Mbili

Inawezekana system yao imelenga kutoa percent kwa siku za kazi tuu yani (Mon-Fri)

Wenye uzoefu zaidi watakuja kutupa mwanga
Wanatoa 12% kwa mwaka kama ongezeko la uwekezaji wako. Hii ni sawa na 1% kwa mwezi.

Kama unataka uwe kwenye mpango wa kuchukua ongeza la uwekezaji wako kila mwezi, UTT watakupa 0.85% ya uwekezaji wako na 0.15% inayobaki inakuwa kwa ajili ya kukuza uwekezaji wako. Ila una ruhusa ya kutoa kiwango chochote kile unachokitaka (Pesa ni za kwako & una uhuru nazo)

Mfano: Ukiweka 30M UTT
Kila mwezi utakuwa unachukua 255,000/= (30M ×0.85%).

Nijibu swali lako.

Ongezeko la % unaloliona kwa siku ni baada ya kugawa 1% unayotakiwa kupata kwa mwezi. Gharama ya kipande inashuka na kupanda, kuna siku gawio lako litakuwa dogo na kuna siku gawio litakuwa kubwa ila mwisho wa mwaka utapata 12%.

Ushauri.

Kulingana na jinsi unavyouliza maswali inaonyesha bado hujafahamu UTT ni nini, wanatengenezaje faida na namna gani wanafanya kazi zao ili kuweza kurudisha gawio kwa wawekezaji. Itakuwa vizuri kama utatembelea ofisi zao ili ujifunze kwa undani zaidi. Usitegemee sana majibu ya jamii forum yawe guidlines kwako. Watu wengi huwa wanajibu vile wanavyohisi/ mitazamo yao na sio kutokana na uhalisia wa mambo yalivyo.

Vitu vingi huwa vinarahisishwa ila huku nje mambo ni tofauti sana.
 
Thank you mkuu
 
Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali.

Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya mwenzie na usalama wa pesa pia.
Nenda UTT chagua liquid fund au hatifungani...
 
Govt Bond inatoa riba kubwa kidg kuliko UTT Bond .. lakini kwa kifupi huu hapa chini ndio utofaut

1. Kwa upande wa riba UTT Bond utapata around 8 - 12% ya pesa yako kwa mwaka ( inategema na mwaka) so igawe hiyo mara 12 maana utakuwa unaipokea kwa kila mwez ukihitaj.. mfano ukiweka 130m kwa mwaka utakuwa unapata around 12m maana yake kila mwe una 1m

Kwa Govt Bond riba yake ni kubwa kidg hasa kwa uwekezaji wa miaka mingi mfano kuanza 7 kwenda hadi 15.. unaweza ukapata kati ya 10 - 12% inategemea na BOT wakat wanatoa hizo Bonds au pia unaweza kununu kwa mtu anaetaka kuuza Bond yake.. ila utapokea pesa mara mbili kila mwaka so mfano kwa uwekezaji wa hiyo hiyo 130M maana yake utapokea around 6 -6.5m kila baada ya miez sita.. na mwisho wa uwekezaji utarudishiwa pesa yako plus addition ya 1-2% ya pesa ya uwekezaji kama faida ya ziada..

So utaona hapo juu utofaut ni mdogo maana yake kwa aliewekeza 130m kwenye UTT na aliewekeza 130m direct kwa BOT Bonds wa BOT atamzidi wa UTT kama milion hiv au 1.5M sio sana.

Kumbuka kwa UTT account ya Bond wanaiwekeza pesa yako yote pia kwa BOt bonds ndo maana wanaiita Bond account..

Ndo maana the lowest risk account kwa UTT ni Bond account..

Mwisho nitakushauri wekeza UTT kwa sababu zifuatazo

1. Unawea ukaichukua pesa yako kwa haraka zaid na hassle free (anytime). Wakat Kwa uwekezaji wa direct to BOT bonds utaziuza bonds zako kupitia broker. So kuna some fees applied

Pia unaweza ukaitumia UTT bond kama vile second income maana unaweza ukaopokea kila mwez kama mshahara tofaut na BOT bond inabid usubir kila baada ya 6 months

Sababu ingine ni kiasi chako cha fedha kama una chini ya 50m nashauri wekeza UTT ambako unaweza ukawa una top up mtaji. Kuanza 5000. Govt bond hakuna ku toop up.. zikitangazwa zinagombaniwa mnada ukifungwa zinasubiriwa zingine so hata kama ulioata 10m baada ya mwaka au mwez huwez kutop up kwa ile ya kwanza inabid ununue bond mpya ikitangazwa.. UTT hakuna hizo anytime una uza au kununua hisa zako.. maana anaenunua ni UTT wenyewe

Pia BOT bond wana kima cha chini cha uwekezaji UTT kuanzia 5000
Baada ya kuanzisha hii mada na kufuata ushauri wa wanajukwaa wa hapa niliamua kuwekeza UTT mfuko wa ukwasi, kwa kweli naona pesa inaongezeka lakini inaongezeka kufuatana thamani ya vipande, swali langu ni je hilo ongezeko ndo hiyo hiyo riba ya 12% kwa mwaka au ni ongezeko sababu ya kupanda kwa thamani ya vipande tu? Na kama ni ongezeko sababu ya kupanda kwa thamani ya vipande je na riba ya 12% kwa mwaka nitapata pia? cc Mech
 
Serikali itacheza na hela zote lakini siyo za hati fungani....
Fuatilia kwanza maana ya hati fungani na kwanini zina heshimika na siyo story za vijiweni.
 
Baada ya kuanzisha hii mada na kufuata ushauri wa wanajukwaa wa hapa niliamua kuwekeza UTT mfuko wa ukwasi, kwa kweli naona pesa inaongezeka lakini inaongezeka kufuatana thamani ya vipande, swali langu ni je hilo ongezeko ndo hiyo hiyo riba ya 12% kwa mwaka au ni ongezeko sababu ya kupanda kwa thamani ya vipande tu? Na kama ni ongezeko sababu ya kupanda kwa thamani ya vipande je na riba ya 12% kwa mwaka nitapata pia? cc Mech
Ndio hela inaongezeka na riba ya asilimia 12 unapata.

Mfano:-

Mwaka ulioanza kuwekeza: 2024
Uwekezaji : 30M (Hii ndio hela umenunua vipande)
Lengo la uwekezaji: Ada ya mtoto (Form 1 had form 6)
Aina ya mfuko: Hatifungani
Thamani ya kipande: 116.54
Idadi ya vipande: 257244.2443 (30M÷116.54)
Riba kwa mwaka: 12%
Gawio kwa mwaka: 3.6M (30M x 12%)

Sasa tuchukulie kila mwaka utakuwa unachukua ongezeko la faida ambayo ni 3.6M kwa ajili ya kulipia ada za mtoto. Baada ya mtoto kumaliza form 6 mwaka 2030, ukaamua kuchukua hela yako yote, hivyo itaangaliwa thamani ya kipande kwa wakati huo ni Tshs ngapi.

Mfano:

Thaman ya kipande (2030): 178.22
Idadi ya vipande vyako: 257244.2443
Fedha utakazotoa: 45.87M (178.22 × 257244.2443)

N.B:

Riba inayotolewa na mfuko wa hatifungani ya UTT kwa mwaka huwa inabadilika kulingana na soko la hatifungani kwa mwaka husika. Inaweza kuongezeka zaidi ya 12% au kupungua chini ya 12%. Hivyo ni muhimu kujifunza zaidi na kujua nini kinasabibisha riba iwe inabadilika badilika, kabla hujatumbukiza hela zako.

Nadhani nimejibu swali lako.
 
Ungedadavua tu hapa kwa faida ya wote mkuu...!
Kwenye suala la Bajeti ya nchi yetu,utaskia kuwa nchi ina daiwa, sasa pale huwa kuna madeni ya
  • Serikali kukabidhiwa fedha na nchi au taasisi za kifedha
  • Madeni ya watu binafsi au mashirika kuidai serikali kupitia hati fungani....
Hati fungani za Serikali...
  • Zipo za mda mfupi (Mwaka mmoja hadi miaka 5)na mda mrefu(miaka 7 hadi 25)...
  • Serikali inapokuwa na uhitaji wa pesa wa haraka ,hukopa kwa watu na mashirika kwa kuwapatia wahusika hizo hati.
  • Mkopo huwa kwa hundi ya Tanzania na hadi marejesho yake.
  • Faida yake hucheza kwenye 3% hadi 7%
  • Taasisi za kubwa za kifedha huangalia ufanisi wa serikali kulipa madeni yake ya hati fungani kama kipimo cha nchi kuweza kukopesheka.
  • Nchi kushindwa kulipa hati fungani,huesabika kama imefilisika,,,
  • Tanzania haijawahi kushindwa lipa madeni ya hati fungani....
  • Yani nchi Takribani 45 za Afrika hazijawahi shindwa lipa hati fungani.....
 
Ndio hela inaongezeka na riba ya asilimia 12 unapata.

Mfano:-

Mwaka ulioanza kuwekeza: 2024
Uwekezaji : 30M (Hii ndio hela umenunua vipande)
Lengo la uwekezaji: Ada ya mtoto (Form 1 had form 6)
Aina ya mfuko: Hatifungani
Thamani ya kipande: 116.54
Idadi ya vipande: 257244.2443 (30M÷116.54)
Riba kwa mwaka: 12%
Gawio kwa mwaka: 3.6M (30M x 12%)

Sasa tuchukulie kila mwaka utakuwa unachukua ongezeko la faida ambayo ni 3.6M kwa ajili ya kulipia ada za mtoto. Baada ya mtoto kumaliza form 6 mwaka 2030, ukaamua kuchukua hela yako yote, hivyo itaangaliwa thamani ya kipande kwa wakati huo ni Tshs ngapi.

Mfano:

Thaman ya kipande (2030): 178.22
Idadi ya vipande vyako: 257244.2443
Fedha utakazotoa: 45.87M (178.22 × 257244.2443)

N.B:

Riba inayotolewa na mfuko wa hatifungani ya UTT kwa mwaka huwa inabadilika kulingana na soko la hatifungani kwa mwaka husika. Inaweza kuongezeka zaidi ya 12% au kupungua chini ya 12%. Hivyo ni muhimu kujifunza zaidi na kujua nini kinasabibisha riba iwe inabadilika badilika, kabla hujatumbukiza hela zako.

Nadhani nimejibu swali lako.
Mkuu,,,
UTT haihusiki na hati fungani...
.Hati fungani ni either Benki kuu au Makampuni makubwa yanahitaji mkopo (NMB na CRDB walikuwa na corporate bond mwaka huu)

UTT ni mutual fund...
 
Ni kweli UTT ni mutual fund ila wana mfuko wa Hatifungani (Bond Fund). Wawekezaji wanaowekeza hela kwenye mfuko huu, hela zao zinaenda kuwekezwa kwenye hizo bond ulizoziorodhesha.

Swali la kujiuliza: Ni kwa nini uende kuwekeza UTT wakati wewe mwenyewe unaweza kwenda kununua hizo bond moja kwa moja bila kupitia UTT?.

Asante.
 
Back
Top Bottom