UTT vs Hati fungani za serikali, ipi Bora zaidi kuwekeza?

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali.

Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya mwenzie na usalama wa pesa pia.
 
UTT
 
Achana na hizo ishu utakuja kukuta nakuambia
 
Unaweza ukawekeza kwenye hatifungani za serikali Kwenye bond ya miaka ata 5 ..alafu ukaenda kuikopea iyo bond benk ukarudisha pesa yako na baada ya iyo miaka mitano bond yako inarudi ..na pesa yako inarudi kama ulivyo iweka😅 lakin kuwa makini na ufanye utafiti wa kutosha labla ya kufanya maamuzi
 
Ipelekee UTT , kwa siku hutakosa 1400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…