Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wenye Timu yao inayoitwa Dodoma jiji watakubali?Sasa ni wakati wa huu uwanja kuhama jamani..kuna siku ndege imenipitia kichwani shwaaaa....
Nimeedit hapo nilimaanisha uwanja wa ndege ndo uhame ..huo wa mpira hauna shida hapo labda parking ndo tabu..Wenye Timu yao inayoitwa Dodoma jiji watakubali?
Hakika sijawahi ona uwanja wa ndege umezingukwa na makazi ya watu namna hiyoSasa ni wakati wa huu uwanja wa ndege kuhama hapa mjini kati jamani..kuna siku ndege imenipitia kichwani shwaaaa....
Wanataka wakishuka tu toka kwenye ndege wawe wapo chako ni chako, Sasa wahamishe uwanja Ili iweje?Nimeedit hapo nilimaanisha uwanja wa ndege ndo uhame ..huo wa mpira hauna shida hapo labda parking ndo tabu..
Ungeidaka na kumfokea rubani aache kukubughudhi.Sasa ni wakati wa huu uwanja wa ndege kuhama hapa mjini kati jamani..kuna siku ndege imenipitia kichwani shwaaaa....
Kuku wameisha.Mtahudumiwa juisi ya ubuyu kwa visheti.Ndo tumeshuka apa kwenye iyo ndenge tunaingia zetu chinangali Park kupata chochote kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!Sasa ni wakati wa huu uwanja wa ndege kuhama hapa mjini kati jamani..kuna siku ndege imenipitia kichwani shwaaaa....
Tusubiri Msalato ikamilike.Sasa ni wakati wa huu uwanja wa ndege kuhama hapa mjini kati jamani..kuna siku ndege imenipitia kichwani shwaaaa....
2005 nilipita hapo nikienda chang'ombe punde tu baada ya ndege kupita, walikua hawajaweka huo uzio wa sasa unaofika barabara ya kondoa,oya siyo poa,dude liko juu ila huo upepo wake!Sasa ni wakati wa huu uwanja wa ndege kuhama hapa mjini kati jamani..kuna siku ndege imenipitia kichwani shwaaaa....
Walivunja nyumba hadi makole kule,sidhani kama watauachaTusubiri Msalato ikamilike.
Then huu wa sasa tugawane mbao
Hata chef asili hakuna?Kuku wameisha.Mtahudumiwa juisi ya ubuyu kwa visheti.
Nenda heath row,kuna nyumba kila dkka ndege inapita juuHakika sijawahi ona uwanja wa ndege umezingukwa na makazi ya watu namna hiyo
Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.
Hii imekaaje kisheria?
Nikuulize kidogo?Wakati wa ndege kutua usiku rubani huongozwa na taa zinazomwonyesha mwanzo na mwisho wa uwanja ikiwa ni pamoja na pembeni runway ilipoishia. Ni tofauti na mchama ambapo huongozwa na ile mistari myeupe iliyochorwa kwenye njia ya ndege kutua.
Sasa turudi kwanini taa za uwanja wa mpira kuzimwa.
Taa zinazimwa kwa vile zinaweza kumchanga dereva wa ndege (rubani) asijue upi ni uwanja halisi wa ndege na anaanzia wapi kushuka. Ukiangalia Uwanja wa ndege na Uwanja wa mpira vipo karibu vikitenganishwa na round about tu. Hivyo inahatarisha usalama wa ndege kutua usiku wakati taa za uwanja wa mpira zikiwaka.
Uwanja wa ndege Mwanza upande mmoja unaishia ziwani kama ilivyo kwa uwanja wa Bukoba na Entebbe Uganda. Kuna wavuvi wa dagaa walipanga karabai zao ziwani zikampoteza maboya rubani na kutua ziwani akidhani ni taa za kuongoza ndege. Bahati pia ilikuwa ni ndege ya mizigo.
Sasa kwa usalama pia wa wachezaji wa mpira na mashabiki wao hapo Dodoma, ilikuwa muhimu kuzima taa maana ingesababisha rubani atue Jamhuri Stadium na kuleta maafa.
Ni hivyo tu.
😂 ila watu wa Teeth bhanaSasa ni wakati wa huu uwanja wa ndege kuhama hapa mjini kati jamani..kuna siku ndege imenipitia kichwani shwaaaa....