Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Hapana mkuu, niulize sanaš¤£Nikuulize kidogo?
Niambie ndugu, nitakujuza ninachoelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, niulize sanaš¤£Nikuulize kidogo?
Kweli...hhahahTusubiri Msalato ikamilike.
Then huu wa sasa tugawane mbao
Ahahahahah hahahaš ila watu wa Teeth bhana
Basi ilipita miguuniNdege hua inapita juu,
Wewe ulitaka ikupite Miguuni?
š
Ahahahha haya mtani wangu..ukija nitakuride mwenyewe mpk mnadani halafu ww ndo utaninunulia nyama...Sasa si mara moja moja uwe unatembea ili uangalie ule uwanja mkubwa wa ndege wa Msalato umefikia hatua gani!!
Unaishi Dodoma, ila muda wote unafungiwa ndani kama kuku wa kisasa! Wewe Kalpana vipi bhana!! Uwe unanitafuta kwa siri nikija Dodoma, nikupeleke mnadani ukale nyama za kuchoma.
Hahaha ingekua kitukoIngekugusa ungeingia kwenye historia ya mtu wa kwanza kugongwa na ndege ikiwa anganišš
Najua kaka angu..na ni mkubwa balaaa...uwanja unajengwa msalato almost unefikia 60%
Nipo Dom town kwa maslahi mapana ya nchi kama alivyoamuru Magufuli.....hahaahaKumbe na wewe upo Dom Town
Ambao hawajawahi fika hawawezi elewe..ndege inaanzia kushuka chini ikiwa mbali ikifika usawa wa ile roundabout inakua chini kabisaa..unaweza gongwa na matairi yake...2005 nilipita hapo nikienda chang'ombe punde tu baada ya ndege kupita, walikua hawajaweka huo uzio wa sasa unaofika barabara ya kondoa,oya siyo poa,dude liko juu ila huo upepo wake!
Kwamba Msalato ukikamilika na huu utaendelea kutoa hudumaWalivunja nyumba hadi makole kule,sidhani kama watauacha
They (TAA) can do better lile sasa ni jiji waongeze equipment airportš¤£š¤£š
Elezea vizuri injinia. Mwisho wa siku utakuja kuuliza mbona taa za mji wa Dar hazizimwi ndege ikiwa inatua?
Wewe elewa hivyo tu kwa sasa taa za uwanja zinazimwa kwasababu ndege onatua. Tambua wakati wa ndege kutua na kupaa anaefanya kazi kubwa na rubani sio auto pilot na maGPS na ma LS.
Lete ujuaji wako sasa kama haitatua golini kwa Dodoma jiji siku hiyo.
Ulishawahi kusikia ndege imeshindwa kutua, tena mchana kwasababu ya hali mbaya ya hewa dereva/rubani haoni runway inaanzia wapi aanze kushuka. Au ruban kaishusha ndege nyuma ya onapoanzia runway. Kama ingekuwa anategemea hizo GPS na LS wakati wa kutua katika hali mbaya ya hewa kwanini aamue kutafuta sehem nyingine ya kwenda kutua?
Hii hutokea sana kwa abiria wanaoenda Bukoba. Hiki nonachokisema watakuwa wanakielewa vizuri zaidi
okNajua kaka angu..na ni mkubwa balaaa...
hapana,utabadilishwa matumiziKwamba Msalato ukikamilika na huu utaendelea kutoa huduma
Mimi napendekeza pajengwe soko.hapana,utabadilishwa matumizi
Hii kawaida sana kwenye maenwo yanayopakana na viwanja vya ndege hakutakiwi kuwa na mataa yaaiyoeleweka. Nakumbuka mitaa ya Jet karibu na Julius Nyerere airport kulikuwa na baa ina makuti wana piga disco usiku na mataa kibao. Marubani waliilalamikia ikafungwa sbb ya mataa Yao ambayo yalikuwa yanawachanganya.Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.
Hii imekaaje kisheria?
Hahahh sawa Dada wa Ubaya ubwelaNipo Dom town kwa maslahi mapana ya nchi kama alivyoamuru Magufuli.....hahaaha
Lipo kiusalasma zaidi na siyo kisheriaWakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.
Hii imekaaje kisheria?