Utuaji ndege wasimamisha mechi ya Azam na Dodoma jiji

Nasikia wagogo wana historia ya kurukia ndege zikiwa zinapita angani na kuja nazo Dar ili kuombaomba
 
Ahahahha haya mtani wangu..ukija nitakuride mwenyewe mpk mnadani halafu ww ndo utaninunulia nyama...
 
2005 nilipita hapo nikienda chang'ombe punde tu baada ya ndege kupita, walikua hawajaweka huo uzio wa sasa unaofika barabara ya kondoa,oya siyo poa,dude liko juu ila huo upepo wake!
Ambao hawajawahi fika hawawezi elewe..ndege inaanzia kushuka chini ikiwa mbali ikifika usawa wa ile roundabout inakua chini kabisaa..unaweza gongwa na matairi yake...
 
They (TAA) can do better lile sasa ni jiji waongeze equipment airport
 
Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.

Hii imekaaje kisheria?
Hii kawaida sana kwenye maenwo yanayopakana na viwanja vya ndege hakutakiwi kuwa na mataa yaaiyoeleweka. Nakumbuka mitaa ya Jet karibu na Julius Nyerere airport kulikuwa na baa ina makuti wana piga disco usiku na mataa kibao. Marubani waliilalamikia ikafungwa sbb ya mataa Yao ambayo yalikuwa yanawachanganya.
 
Wangesubiri mpaka mpira uishe ndio washushe ndege yao, tusipangiane.
 
Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.

Hii imekaaje kisheria?
Lipo kiusalasma zaidi na siyo kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…