Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Nimeona nije kuwaomba ushauri hapa maana wakati flani unaona ni bora upate mawazo mtambuka toka kwa wadau wengine. Na hii inatokana na kuwa watu wana fikra mchanyato na ni wazi kuwa kweli ya leo siyo kweli ya jana.
Huyu dada tunafanya naye kazi ofisini ana muda flan tu, tumezoeana kiasi si sana na yeye pia hajazoeana na watu wengi ila toka siku ya kwanza alionesha kuwa interested na mimi nami kwenye maongezi yangu mara nyingi humwelezea kuhusu mke angu na watoto wetu kadhaa.
Mara nyingine akipiga simu nawapa watoto wamsalimie kama aunt ya, sasa issue yenyewe imeanza Ijumaa iliyopita alinitumia msg kuwa anaomba weekend iliyopita nikashinde naye kwake. Nikamwambia nlikuwa busy kidogo nisingeweza na kiukweli nlikuwa na safari nyingine alilalamika sana kuwa sina muda wa kuwaembelea marafiki hasa kama yeye ambaye ni mpweke na anapenda sana tunapoongea na kubadilishana mawazo.
Jana sasa ndo kamaliza kabisa katuma hii msg whatsapp " mambo! Mwenzio nina ***** na wewe sana. Toka siku ile nimekuona nlijikuta nakupenda na nakuwazia sana. tafadhari wala nisikuchoshe na maneno mengi sana. Naomba Jumamosi au jumapili tukapime halafu tukitoka huko twende nyumbani kwangu ukani***** sana. Please i beg you. Please usinikatalie maana utanisababishia hata niachae kazi maana sitaweza kuwa naendelea kukuona huku nateseka"
Niliisoma hiyo SMS halafu nikanyamaza nikidhani pengine amekosea baada ya masaa kama manne hivi akanipigia simu kuniuliza nimepata SMS yake? nikamuuliza ipi hapo akakata simu akanitumia tena ile SMS na baada ya dk kama 2 akapiga kuiuliza kama nimepata.nikamwambia ndiyo akasema basi anaomba niifanyie kazi.
Najiuliza mara mia mia, nimsaidiaje huyu dada? Kiukweli ni mzuri sana na mtaratibu alipofika ofisini kuna watu walijaribu baadaye wakashindwa wakamwacha. Mimi ndo sikuwahi kabisa kumwambia habari hizo. Kumbe ndo nilikosea yeye akanipenda kwa sababu nilionekana ni mwanaume mtulivu utulivu wangu umeniponza.