makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Chonde chondeTunampelekea mkeo huu uzi ausome mzinzi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chonde chondeTunampelekea mkeo huu uzi ausome mzinzi wewe
Soma tena au kanawe uso usome vizuri....itakuwa unaumwa usingixihivi umesema una mke na watoto au mimi ndo sijakuelewa?
Anatumia kauli kama hiyo ili kumlainisha tu...Dah hatar mtoto mkaliii anakutaka naamekwambia mkapime!!! Kuwa serious mfate hiyo cku mkapime uone kama atakubali, naamini watu wanatumia kauli yakusema mkapime kwakujua kuwa hamtoenda kupima nakauli yake hiyo itakufanya umuamini kwakuwaza kichwan kwako kuwa angekuwa nangwengwe asingekwambia mkapime
Ndio hivyo ndugu anajiaminisha ili aaminiweAnatumia kauli kama hiyo ili kumlainisha tu...
teh teh teh hii kali!!!Kijana mbona una roho mbaya kiasi hicho? anajua una mke na watoto, na wewe unakiri ni mzuri na mstaarabu, kakwambia anahitaji kampani yako kwa vile yumpweke, amekuomba umpe msaada kwa kumuingizia dushelele then unanza kupoteza muda kwa kuja hapa na kujaza server eti unataka ushauri! mtoto wa watu ameshakwambia kwamba mnaanzia kwa dokta kupima ngoma, then kama mambo safi, uende kusafisha madirisha ya chumbani. tatizo liko wapi?