Utulivu wangu umeniponza kwa huyu mwanamke ni bora ningekuwa tu kicheche

Nilikaribia kutoa ushauri wa nini kifanyike lakini kabla ya kufanya hivyo nikaamua niangalie nani ni muanzisha huu uzi. Mkuu wewe na threads zako hmmmm!
 
Mkimbie huyo kabisa..utaharibu familia yako..
Kama hujajaribu ni bora usijaribu..
 
Kama mwanaume kweli na uko kwenye ndoa, ukileta issue ya namna hii hapa.Nina mashaka na namna unavyo shughulikia mambo yako mbalimbali ya familia.Kwamba sio mwanaume, bado hujakomaa, na tegemezi wa fikra.

Mimi ningemsaidia huyo dada kuondoa upweke wake, ndio ni kosa lakin sio la kwanza wala la mwisho.Kuna makosa mengi zaidi ya hilo. Pia wanawake ni wengi zaidi dunian kuliko sisi wanaume, mahitaji yao mengine hayanunuliwi kwa pesa ni suala la utu. Niambie ofisi zenu ziko wapi nijitolee msaada!
 
Acha ufala. Huoni raha mwanamke kukutongoza? Ila usikubali kwenda kwake, Hapo nyumba za kulala wageni zinakuhuhusu.
 
Watu wengine kama sisi tunazitafuta hizi bahati halafu ww unaletewa mpaka mlangoni pako na unazingua.Duh! Mkuu hii kama sio aibu ni nn sasa?
 

Ni rhisi tu,mapenzi ni mchezo fulani mtamu sana,yeye alivyowatolea nje wote waliomtongoza wanafeel anavyofeel yeye sasa,mweleze ajifunze kwao.Pia kwa tahadhari tu uko mbioni kuhariibu ndoa yako.Anataka ukashinde naye kwake uache mkeo na watoto siyo?Anakutumia msg za hivyo ukiwa nyumbani na mkeo ati?Ukimkula tu tegemea vitimbi kama msg hizo kutumiwa usiku na kupigiwa usiku ukiwa na mkeo,kifupi tu ataanzisha revolution movement.
 
Duuuh kuna watu wanaletewa mpunye ya promotion halafu wanakodoa macho kma prof lipumba.huyo inatakiwa umpe mechi za mkopo tu mpka akili imkae sawa
 
mle tiGo wewe, wacha ushamba.
 
Chukua huu ushauri, utakusaidia, huyo ni malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…