Utumbo wa ng'ombe biashara inayodhalaurika yenye faida karibia na mtu anaemiliki bajaji 1 au zaidi ya bodaboda 1, Inahitaji mtaji mdogo

Hapana nakukatalia...ukisrma mtaji upo chini kwa sasa had mwaka 2020 utasema hvyohvyo...anza na ulichonacho meeya mu dear...!nahis una kauoga au kauzito..ukiwa tayari sema twende machinjion tuingie front
Ha haaa nakuaminia jembe, nakuja whatsapp
 
Ha haaa nakuaminia jembe, nakuja whatsapp

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚i wish ukae week 1 na mm utashangaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pale nimekuwa icon fulan ya wanawakeπŸ˜…πŸ˜…..kazi kazi..hta 80 unaweza anza tena unapeleka kule kwa sisy..udhunguni..njoo mwaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]i wish ukae week 1 na mm utashangaa[emoji23][emoji23][emoji23]pale nimekuwa icon fulan ya wanawake[emoji28][emoji28]..kazi kazi..hta 80 unaweza anza tena unapeleka kule kwa sisy..udhunguni..njoo mwaya
Nipe madini bas na wewe. Sijajua cha kufanya mpk sasa ujue. Napoteza muda
 
mkuu mzani mdogo wanaotimia wauza utumbo wanaotembeza dar mi sh ngapi inapatikana maduka gani hapa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu baadhi ya maeneo mengne wanauza utumbo pamoja na nyama pamoja
 
Mkuu baadhi ya maeneo mengne wanauza utumbo pamoja na nyama pamoja
Ndo maana nililalamika. Mikoani ukienda bucha unalazimishwa kuwekewa utumbo wakati unasafiri masaa 6 kwenye basi. By the time unafika nyumba yote inanuka.
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ good idea
 
Ni biashara nzuri kwani waweza baadae kuongeza kuuza kwato, miguu au kwato na maini.

Utumbo wapikiwa ndizi, supu zingine na kwato au miguu yapikiwa supu nzuri tu hata vichwa pia.

Ni kujipanga tu na kuuza kitaalam utatoboa.
 
Uko sahihi kabisa. Tatizo vijana kuchagua kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za mwalimu home kwetu maza akipika ndizi basi lazima zichanganywe na utumbo. Na tulizoea hivyo. Nashangaa utumbo these days unatengwa kuna watu wanashangaa eti utumbo unaliwa?
 
Hii ni kwa Dar kweli - huku kwetu bucha zote karibia zinauza na utumbo ila changamoto ya utumbo ni kilala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…