Utumbo wa ng'ombe biashara inayodhalaurika yenye faida karibia na mtu anaemiliki bajaji 1 au zaidi ya bodaboda 1, Inahitaji mtaji mdogo

Ha ha napapenda Sana pale utumbo wanaivisha vizuuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku mtaani kuna jamaa anatembeza kwenye ndoo
 
Ndo maana nililalamika. Mikoani ukienda bucha unalazimishwa kuwekewa utumbo wakati unasafiri masaa 6 kwenye basi. By the time unafika nyumba yote inanuka.
kweli kabisa mkuu
 
Usisahau kupata kitambulisho cha ujasiliamali kwa Tsh.20,000/=tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello
Kama bado unafanya hii mishe naomba number yako inbox
 
 
Unatengeneza kabati lakio, kama yale yanayotumika kuwekea chips, sasa lenyewe linakuwa lefu kidogo,unaliweka nje ya bucha(baada ya kuelewana na mwenye bucha).Halafu unakuwa unauzia watu wanaokuja kununua nyama wakihitaji utumbo wanachukua kwako.
Mkuu Vp ukitengeneza kibanda chako kivyako mtaani, au ni lazima uwe pemben ya bucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…