Utumiaji wa ugoro kwa vijana ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo

Utumiaji wa ugoro kwa vijana ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Suala la vijana wa kitanzania kuamia katika matumizi ya ugoro ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo nchini.

Utumiaji wa ugoro una faida mbalimbali za kiuchumi kwa watumiaji na wafanyabiashara Kama ifuatavyo.

1. Tofauti na hennesy ,matumizi ya ugoro uacha hela yote nyumbani, kuanzia mkulima, watengenezaji na mpaka mmasai anayesambaza mtaani. Hili ni suala linaloinua pato la taifa na hivyo kusaidia ukuaji wa uchumi kwa kiwango kikubwa.

2. Tofauti na sigara, ambapo mtumiaji mkubwa uvuta paketi kadhaa,, ugoro wa jero au buku umtosha kabisa kumaliza siku nzima na hivyo kubakisha kiasi kikubwa Cha fedha kwa ajili ya shughuli nyingine za maendeleo.

3. Ni aghalabu Sana kumkuta mtu kalewa na ugoro Kisha kuanza kufanya fujo mtaani. Hivyo ni kilevi salama.

4. Tofauti na bangi, huwezi kukamatwa, kufunguliwa mashtaka Wala kufungwa sababu ya matumizi ya ugoro.

5. Kwa madereva,hamna kipimo chochote kinachoweza kupima ulevi wa ugoro.

SUPPORT LOCAL ,BUY LOCAL.
 
Mdomo ni kwa ajili ya kula chakula kizuri tu
Masigara
Mapombe
Maugoro
Mabangi

Ni uchafu mkubwa Sana.
 
Mkuu hv kule kwenye ugolo wamadai hawajatengenezewa mfumo mzuri wa kulipa kodi ya uzalendo na VAT??
 
Wala ugoro wanatematema Kama Bata anaharisha
 
Wakati nakua ugoro alikuwa anatumia bibi na babu na vikongwe wengine kijijini, nilipigwa na butwaa siku niliposikia kwamba huku mjini vijana nao wanatumia ugoro.....
 
Back
Top Bottom