Capo_di_Tutti_Capi Senior Member Joined Mar 6, 2021 Posts 111 Reaction score 169 Mar 13, 2026 #1 Tukutane hapa tupeane experience, waliowahi kufanya Interview written ya ACCOUNTS OFFICER II kwa njia ya mtandao. Attachments 20261203272057TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MACHI - APRILI, 2026 BATCH 2.pdf 20261203272057TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MACHI - APRILI, 2026 BATCH 2.pdf 4.5 MB · Views: 38
Tukutane hapa tupeane experience, waliowahi kufanya Interview written ya ACCOUNTS OFFICER II kwa njia ya mtandao.
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,685 Reaction score 4,003 Mar 14, 2026 #2 Habari mkuu, sijajua lengo ni kupeana experience au kujua maswali gani huwa yanaulizwa mara nyingi na sources za material kujiandaa na usaili. Kama ni kujua uzoefu tembelea uzi pendwa KWA NINI UTUMISHI WANATUMIA MUDA MREFU KUITA WATU KAZINI. Watu walishashusha experience humo. Ila kama unataka maswali na material ya kujiandaa kwa usaili napendekeza kuna forum inaitwa wananchiforum utapata unachokihitaji. Best wishes champ!
Habari mkuu, sijajua lengo ni kupeana experience au kujua maswali gani huwa yanaulizwa mara nyingi na sources za material kujiandaa na usaili. Kama ni kujua uzoefu tembelea uzi pendwa KWA NINI UTUMISHI WANATUMIA MUDA MREFU KUITA WATU KAZINI. Watu walishashusha experience humo. Ila kama unataka maswali na material ya kujiandaa kwa usaili napendekeza kuna forum inaitwa wananchiforum utapata unachokihitaji. Best wishes champ!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 14, 2026 #3 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Youngstunna JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 286 Reaction score 324 Mar 19, 2026 #4 Vituo vya usaili vinapangwa lini