Utumishi mlikuwa na lengo gani kwa watahiniwa?

Ujinga wa meko kukimbilia Dodoma Mapema.
Nadhani mshkaji katolea mfano hata wa ilivyokua Dar, watahiniwa ilikua sio lazima waje Dar, zone offices zilifanya kazi, why kipindi hiki utumishi from Dodoma hawakuona hilo? Kwanini zonal offices hazikufanya hiyo kazi badala ya kumtoa mtu mkoani huko na kumpeleka Dodoma? Fikira mtu atoke Kigoma kwenda kwa interview Dar?? Kweli??
 
poleni sana vijana ndio muelewe kwamba CCM sio babayenu wala Mama yenu, komaeni tu na endeleeni kuunga mkono juhudi Asanteni sana
 
Sahihi kabisa,

Ufuate pepa ya bure Dodoma lakini ugharamikie Guest House/Lodge siku 2 x 20,000 = 40,000/-.
Nauli Go & Return 22,000 x 2 = 44,000/-,
Kula njiani wakati wa Safari 10,000/-
Bodaboda za kutafuta ukumbi TZS 5,000/-

Au uletewe pepa Mkoa ulipo kwa gharama ya 5,000/- na nauli yako ya kwenda chumba Cha mtihani kipi bora?

Tena hapa Gharama nimeweka zile minimum kabisa
Utumishi kama wanataka hela za bure basi wapitis huu Uzi
 
Wakuu Kwema?

Mimi kwa Sasa niko Dodoma kikazi, mnamo ijumaa Usiku alinipigia Jamaa yangu mmoja akaniambia mdogo wake kaja Dodoma kufanya Interview lakini kakosa pa kulala, hivyo anaomba nimu accommodate sababu kashatafuta chumba kakosa. Kwakua alienipigia ni Mshikaji wangu sana nkaona isiwe tabu, dogo atapata pa kulala na sehemu za Monde, Nyama Choma, na hata mambo mengine yale akitaka namuonyesha tu.

Dogo akafika saa nane usiku kachoka hoi anadai kadandia lift kaunga gari mbili mpaka pale. Akadai mtiti wa watu aliouacha Mbezi Stand ulikua sio wa kawaida, abiria wanapanda Saratoga wanalipishwa nauli mpaka 35,000/- wakati ki uhalali ni 20,000/- tu. Wengine barabaran wanasubiri Gari za lift.

Dogo akazidi kudai ashazunguka sana vyumba hakuna, eti kuna mpaka wadada waliokua wakilala kwenye vyumba vya wanaume ambao hawakua wao.

Yaan mtu anasikia mdada anaulizia mapokezi kuhusu chumba anatoka anamwambia mdada waunganishe tu nguvu hata wanaweza kupiga discussion usiku. Yaliyoendelea kwenye hizo "discussion" za kustukizana mie sikuwepo.

Asubuhi nkasema nimpeleke dogo huko Udom sababu Usafiri ulikua wa tabu Sana na ilikua Saturday sikua na mishe zingine. Njiani karibu na Njia Panda ya Social foleni ilikua ni kubwa ki Dodoma Dodoma, lakini tulifika. Nilichogundua wageni walikua ni wengi kwa kumbi zilizokua zikifanyia mitihani, wengi wao waliishia kulipia bodaboda mara mbili mbili wakati wanatafuta kumbi husika walizopangiwa. Kumbi zilikua hata 20 na zingine ziko umbali hata wa kutumia Gari au bodaboda.

Pale Udom kwa sasa chuo kimefungwa. Hakuna kantini, hakuna duka wala kiosk. Watu wametoka makwao (guest houses/lodges) toka alfajir hawajala wala kunywa chochote. Hata ukisikia kiu unafanya tu kumeza mate. Angalau kuishi kwangu Dom nafaham vijiji vya jirani na chuo hivyo dogo wake mshikaji nikampelekea wanapaita Nong'ona baada ya pepa ya Kwanza. Wengine niliona wakipiga mihayo tu, kadhaa nkatoka nao wengine wachache nkafanya kuwaambia tu.

Nje ya vyumba vya mitihani tahadhari ya Corona haikuwepo. Distance ya 1meter kati ya mtu na mtu haikuwepo Kabisa. Sio kwenye kusubiri tu, hata mistari ya foleni ya kukaguliwa hakukua na hii tahadhari. Ni kama mkazo uliwekwa kwenye barakoa tu, sio distance maintaining.

Kisha akaingiapepa ya pili, then tukarud town. Usafiri ulikua shida Sana, watu walipanda mpaka Toyo/Guta kurud mjini. Nilichukua kadhaa, wajawazito wawili na mmoja Dogo alisema anamjua wamemaliza nae. Kuhusu ugumu wa mtihani hilo namuachia dogo Mwenyewe ila watu walipata tabu kweli.

Lakina labda tufanye hesabu kidogo, Dogo anasema pepa ya Kwanza aliofanya waliitwa around 9,000 na ya pili hivyo hivyo nazan, tukiweka assumption kwamba wa huku ndio wa kule basi tuseme walikua hao hao 9,000. Na labda 2,000 hawakuja. Kwa ngazi ya Diploma (Wale Assistants) labda nao 3,000 hivi approximately. Hiv kweli Dodoma ina Guest houses za kutosha watu 10,000?? Guest/Lodge moja ikichukua wageni 10 basi zitahitajika guests 1,000 kubeba huu umati, zipo kweli hizi hapa Dodoma?

Dogo alihitajika kurudi jana,gari hakuna zimejaa. Sema kuna mdau mwenzangu hapa Job alikua anaenda Dar na Private nikamuombea lift. Dogo anasema jana njiani alikutana na watu wengi tu wakisimamisha magari kuomba lift. Jamaa aliekua nae alibeba watatu kwa 30,000 each. Mwenzake aliemuona kule Udom ali book na return kumbe.

Naandika huu uzi nikijiuliza swali moja tu, why ilikua lazima kuwajaza watu wote hawa Dodoma? Hakukua na uwezekano wa tume kutumia office zake za zonal? Mbona wakati tume Iko Dar es Salaam wale wa mikoani walishawahi kufanyia mitihani huko waliko? Si ni hata bas mngewaita Dodoma kipindi cha Oral wakiwa wameshachujwa wamebaki wachache? Ni Ubinafsi gani kwa wao kuokoa Gharama huku wakiwatesa watahiniwa kiasi kile?
Hizi ndio athari za kukwepa kuchoma mishikaki ya 200. Au kuchoma mahindi stendi kwa kujivika taji la usomi!😅
 
Hmn bas watu hawakutafuta guest Sana mm nililal mitaa ya nyerere square nilikuta vyumba na vinginevyo vilikuwa havina watu. All in all watu walizid Sana kwasababu watu wanatamani Sana kufanya Kaz TrA
TRA toka kitambo inajulikana ni sehemu yenye ulaji na dili chafu nyingi 😅
 
Ni.mda sasa hii mitihani iwe inafanyika kizonal ili kupunguza usumbufu kwa watahiniwa aisee, utumishi Wana kwama wapi hapo
 
Written ingekuwa Dar tuu maana usafiri na shida zingine tungeokoa wadogo zetu
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Kwa taarifa yako kipindi cha Magufuli TRA ndio waliongezewa maradufu
Unafanya kazi TRA? Unajua salary review taasisi zipi ziliondolewa posho nyingi na mishahara ikapunguzwa? Magufuli aongeze mshahara? Hahahah hujui tu,uliza TPA,TPDC,TRA kilichowapata
 
Bila shaka hujasoma mtiririko wa comments.

Pepa hailipiwi, kutokana na usumbufu ambao watu wanaupata jinsi alivyoelezea mleta mada, tunaona ni bora pepa zifanyike kwenye kanda halafu walipishwe kidogo ili kusaidia maandalizi ya huo mtihani(ukumbi, wasimamizi n.k)

Mfano mtu akiwa Dar akalipia 5,000/= tu akaletewa pepa Dar, ni nafuu kuliko na aende Dodoma ambapo atagharamia usafiri(go and return), malazi, chakula, n.k
nimekuelewa kaka shukrani.
ila hata huko kanda malalamiko yatakuwepo tu kuna wilaya zipo mbali hata kufikia makao makuu ya mikoa yao, hatuwezi kuwafurahisha watu wote ukizingatia sisi wasaka ajira wengi ni masikini sana kuna nyakati tunakosa hata mia 4 ya daladala
 
Unafanya kazi TRA? Unajua salary review taasisi zipi ziliondolewa posho nyingi na mishahara ikapunguzwa? Magufuli aongeze mshahara? Hahahah hujui tu,uliza TPA,TPDC,TRA kilichowapata
Unafanya kazi TRA? Unajua salary review taasisi zipi ziliondolewa posho nyingi na mishahara ikapunguzwa? Magufuli aongeze mshahara? Hahahah hujui tu,uliza TPA,TPDC,TRA kilichowapata
Mwendo ndo ule ule mkuu izo review ni tishia tishia tu nyie wananchi na posho zikizotolewa ni ulaghai ila watu wanakula maisha kama kawa
 
Wakuu Kwema?

Mimi kwa Sasa niko Dodoma kikazi, mnamo ijumaa Usiku alinipigia Jamaa yangu mmoja akaniambia mdogo wake kaja Dodoma kufanya Interview lakini kakosa pa kulala, hivyo anaomba nimu accommodate sababu kashatafuta chumba kakosa. Kwakua alienipigia ni Mshikaji wangu sana nkaona isiwe tabu, dogo atapata pa kulala na sehemu za Monde, Nyama Choma, na hata mambo mengine yale akitaka namuonyesha tu.

Dogo akafika saa nane usiku kachoka hoi anadai kadandia lift kaunga gari mbili mpaka pale. Akadai mtiti wa watu aliouacha Mbezi Stand ulikua sio wa kawaida, abiria wanapanda Saratoga wanalipishwa nauli mpaka 35,000/- wakati ki uhalali ni 20,000/- tu. Wengine barabaran wanasubiri Gari za lift.

Dogo akazidi kudai ashazunguka sana vyumba hakuna, eti kuna mpaka wadada waliokua wakilala kwenye vyumba vya wanaume ambao hawakua wao.

Yaan mtu anasikia mdada anaulizia mapokezi kuhusu chumba anatoka anamwambia mdada waunganishe tu nguvu hata wanaweza kupiga discussion usiku. Yaliyoendelea kwenye hizo "discussion" za kustukizana mie sikuwepo.

Asubuhi nkasema nimpeleke dogo huko Udom sababu Usafiri ulikua wa tabu Sana na ilikua Saturday sikua na mishe zingine. Njiani karibu na Njia Panda ya Social foleni ilikua ni kubwa ki Dodoma Dodoma, lakini tulifika. Nilichogundua wageni walikua ni wengi kwa kumbi zilizokua zikifanyia mitihani, wengi wao waliishia kulipia bodaboda mara mbili mbili wakati wanatafuta kumbi husika walizopangiwa. Kumbi zilikua hata 20 na zingine ziko umbali hata wa kutumia Gari au bodaboda.

Pale Udom kwa sasa chuo kimefungwa. Hakuna kantini, hakuna duka wala kiosk. Watu wametoka makwao (guest houses/lodges) toka alfajir hawajala wala kunywa chochote. Hata ukisikia kiu unafanya tu kumeza mate. Angalau kuishi kwangu Dom nafaham vijiji vya jirani na chuo hivyo dogo wake mshikaji nikampelekea wanapaita Nong'ona baada ya pepa ya Kwanza. Wengine niliona wakipiga mihayo tu, kadhaa nkatoka nao wengine wachache nkafanya kuwaambia tu.

Nje ya vyumba vya mitihani tahadhari ya Corona haikuwepo. Distance ya 1meter kati ya mtu na mtu haikuwepo Kabisa. Sio kwenye kusubiri tu, hata mistari ya foleni ya kukaguliwa hakukua na hii tahadhari. Ni kama mkazo uliwekwa kwenye barakoa tu, sio distance maintaining.

Kisha akaingiapepa ya pili, then tukarud town. Usafiri ulikua shida Sana, watu walipanda mpaka Toyo/Guta kurud mjini. Nilichukua kadhaa, wajawazito wawili na mmoja Dogo alisema anamjua wamemaliza nae. Kuhusu ugumu wa mtihani hilo namuachia dogo Mwenyewe ila watu walipata tabu kweli.

Lakina labda tufanye hesabu kidogo, Dogo anasema pepa ya Kwanza aliofanya waliitwa around 9,000 na ya pili hivyo hivyo nazan, tukiweka assumption kwamba wa huku ndio wa kule basi tuseme walikua hao hao 9,000. Na labda 2,000 hawakuja. Kwa ngazi ya Diploma (Wale Assistants) labda nao 3,000 hivi approximately. Hiv kweli Dodoma ina Guest houses za kutosha watu 10,000?? Guest/Lodge moja ikichukua wageni 10 basi zitahitajika guests 1,000 kubeba huu umati, zipo kweli hizi hapa Dodoma?

Dogo alihitajika kurudi jana,gari hakuna zimejaa. Sema kuna mdau mwenzangu hapa Job alikua anaenda Dar na Private nikamuombea lift. Dogo anasema jana njiani alikutana na watu wengi tu wakisimamisha magari kuomba lift. Jamaa aliekua nae alibeba watatu kwa 30,000 each. Mwenzake aliemuona kule Udom ali book na return kumbe.

Naandika huu uzi nikijiuliza swali moja tu, why ilikua lazima kuwajaza watu wote hawa Dodoma? Hakukua na uwezekano wa tume kutumia office zake za zonal? Mbona wakati tume Iko Dar es Salaam wale wa mikoani walishawahi kufanyia mitihani huko waliko? Si ni hata bas mngewaita Dodoma kipindi cha Oral wakiwa wameshachujwa wamebaki wachache? Ni Ubinafsi gani kwa wao kuokoa Gharama huku wakiwatesa watahiniwa kiasi kile?
Kuokoa gharama zaidi, hata wasimamizi waliomba msaada UDOM na ile ya chuo cha Mipango waliwaomba huko Mipango!!
 
Wao ni taasisi ya Serikali wanaopewa ruzuku ya kujiendesha, sio profit oriented organization. Wanapowatesa ”wateja" wao kwa nia ya kubana matumizi sio sawa.
 
Back
Top Bottom