Sauti ya amani
Member
- Jul 19, 2022
- 64
- 89
wakitoa ni tag mwenyew nina hamu nimalizane naoNi wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
Bc aliyoyasoma hajayaelewa hvy ameyakariri ili akifika kwenye usaili ayatapike, sasa ndo hawa wakifika na kukuta kuna maswali ya shule ya msingi wanarudi mitandaoni na kuanza kuilaumu psrsMkuu umemeza sana unaona vitaevaporate nn?
Kwahy umesitisha majukumu yako kisa kusubir usaili 😂 ww kweli kiazi aisee, sasa usipoitwa itakuaje 😂Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
Tulikuwa tunadhibiti kwanza maandamano ya Chadema, kwa sasa tunarudi kuwapangia vituo vya kuwakanda. Mkae kwa kutulia.Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
Punguza speed mkuuUnaharaka?
Huu Muda jipange, interview inamambo mengi na ushindani na Mkubwa
Kukandwa na nani punguza speed unakunywa komoni sikuhizi?Jiandae kukandwa
Vijana jiwekeni sawa
Kukandwa na nani punguza speed unakunywa komoni sikuhizi?
Sio Mwalimu mimi mkuu mboni unaparamia watu hauwajui vizuri? Wewe una uhakika gani mimi ni Mwalimu?Jiandae na interview kushinda JF alafu hufanyi revision haitakusaidia kwèñye pepa
unajiandaa wapi sasa, subject matter au professional issues???Jiandae na interview kushinda JF alafu hufanyi revision haitakusaidia kwèñye pepa
unajiandaa wapi sasa, subject matter au professional issues???
Sio Mwalimu mimi mkuu mboni unaparamia watu hauwajui vizuri? Wewe una uhakika gani mimi ni Mwalimu?
Kwenye Mbuyu mkubwa sana unaofanana na UyogaSawa! Umejificha kwenye mkaranga.
Kwenye Mbuyu mkubwa sana unaofanana na Uyoga
Sio Mwalimu mimi umenifanisha itakuaSawa. Ila jiandae. Usije sema serikali haiajiri kumbe wewe ndio uwezo mdogo