Utumishi mmegoma kutoa majina na vituo vya usahili kwa walimu

Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
watatoa leo usiku
 
Utaratibu wa zamani wa kuwapangia tu vituo unaweza kutumika!! Vigezo vilishaainishwa!! Its a wastage of resources kufanyisha interview watu zaidi ya laki mbili!!
 
Mmmmm mbona ni hatari,,lakini serikali imejipanga, kila step ilionesha Kuna interview,,sidhani kama Kuna kupangia watu ajira bila interview sahivi.
 
Kuwa na subira, wanawasubiri wenzako wa commerce na Book-keeping
 
Attachments

  • IMG-20240925-WA0001.jpg
    IMG-20240925-WA0001.jpg
    31.8 KB · Views: 6
Walimu jipangeni usaili wenu umekaribia. Utumishi wanamaliza viporo vya halmashauri vyote kwanza.
 
Ila walimu mna viable hele hadi makazini wenzenu wa ajira 600 zilizotangazwa juzi dedline tar 30.

Sasa mtafanyaje usaili bila wao muwe na subira.

Ndo maana mnadharaulika
 
Nani anawadharau ?
Ukiona mtu anadharau walimu ujue huyo ni kilaza pro max

Uk
 
Utaratibu wa zamani wa kuwapangia tu vituo unaweza kutumika!! Vigezo vilishaainishwa!! Its a wastage of resources kufanyisha interview watu zaidi ya laki mbili!!
Ndugu mwalimu, nafahamu kuwa unaogopa sana usaili ila safari hii huna pa kukimbilia, usaili n lazima ufanye tuu 😂
 
Back
Top Bottom