Niite Profesa
Senior Member
- Jun 19, 2015
- 111
- 124
Nilibahatika kufaulu written interview ya kule sekreatieti ya ajira na nikafanya Oral interview. Lakini hadi sasa sijaiona jina langu kwenye mikeka inayotoka.
Mwalimu wa Primary ngazi ya diploma, na pia naona kila mkeka unaotoka watu wa diploma ya primary wanatusahau kabisa ila wale wa certificate wamechukuliwa wengi sana.
Walimu wa Diploma ya SHULE YA MSINGI njooni tujifariji 😂