Niite Profesa
Senior Member
- Jun 19, 2015
- 111
- 124
Bado ila naumia kuona kuna mda mikeka 4 mfululizo hakuna diploma msingi hata mmoja.Endelea kutulia Kwan wametoa taarifa ya kufikia ukomo wa kutoa majina?
Asante sanaPole Sana
Kuna
Sawa kaka ngoja niwe mvumilivuKuna
Mtu Aliitumwa Interview Ya Utumishi Mwanza Akafanya Hakuitwa
Mwezi Uliopita Kaitwa Wa Mahakama Anaendelea Kusubiri
Nafikiri certificate wanakuwa wengi kwenye mkeka kwasababu course yao imefutwa hvyo serikali inaangalia namna ya kukabiliana na mabadiliko hayoBado ila naumia kuona kuna mda mikeka 4 mfululizo hakuna diploma msingi hata mmoja.
Na pia issue ya pesaNafikiri certificate wanakuwa wengi kwenye mkeka kwasababu course yao imefutwa hvyo serikali inaangalia namna ya kukabiliana na mabadiliko hayo
Anhaa kumbe sikuwa Najua hiloNafikiri certificate wanakuwa wengi kwenye mkeka kwasababu course yao imefutwa hvyo serikali inaangalia namna ya kukabiliana na mabadiliko hayo
Unajiita profesa kumbe una Stashahada.Nilibahatika kufaulu written interview ya kule sekreatieti ya ajira na nikafanya Oral interview. Lakini hadi sasa sijaiona jina langu kwenye mikeka inayotoka.
Mwalimu wa Primary ngazi ya diploma, na pia naona kila mkeka unaotoka watu wa diploma ya primary wanatusahau kabisa ila wale wa certificate wamechukuliwa wengi sana.
Walimu wa Diploma ya SHULE YA MSINGI njooni tujifariji π
πππ Si ndo hapo sasa nimejificha kwenye kivuli cha uprofesaUnajiita profesa kumbe una Stashahada.
ππ
"Mizengo Ole Pinda"Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar
Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga
2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze
Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu
2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro
Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini
Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar
2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar
3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar
4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar