Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,283
Reaction score
11,558
Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma.

1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi wake wa kazi kwenda kwa msimamizi mwingine, pia kwenda kwa afisa utumishi kisha kuwasilisha sehemu husika ina maana mmoja wapo hapo akizembea wajibika basi mtumishi ameumia na ndio tunachokiona uzembe wa viongozi unaumiza mtumishi.

Mtumishi katika utendaji kazi wake uku anaona yupo sawa anakosa stahiki zake akiuliza utumishi uko anambiwa utendaji wake upo chini hastahili kupata haki zake akiwmbia mbona miye hapa ipo sawa anambiwa kwao ipo tofauti ukiuliza nani mwenye kosa wanakosa majibu.

Na ukweli usemwe watendaji wengi ofisi za umma maboss teknojia imewaacha hawajui tumia internet kazi nyingi wanawapa watoto zao nyumbani au watu baki matokeo yake ufanisi unakuwa mbovu.

Pia soma ~ Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja
 
LICHA YA NAIBU WAZIRI WA OR-UTUMISHI KUMUELEKEZA KATIBU MKUU-UTUMISHI KULEGEZA MASHARTI KWA WATUMISHI AMBAO HAWAJAPANDA VYEO WAPANDISHWE KWA SABABU TATHMINI. MPAKA SASA HAKUNA MWELEKEO TUSAIDIE
 
Watumishi mnalialka nini si muandamane mdai haki zenu.

Watumishi wa TZ ni watumwa kwa hiari zao, wengi wanaona kupata kazi serikalini ni kama bahati wanaogopa kufukuzwa kazi

Vyama vya wafanyakazi navyo vinazidi kuwanyonya wafanyakazi bila kuwapa msaada au kutetea haki za wafanyakazi

hiyo ESS bado haina msaada kwa mfanyakazi katika baadhi ya vipengele
 
Watumishi wa TZ ni watumwa kwa hiari zao, wengi wanaona kupata kazi serikalini ni kama bahati wanaogopa kufukuzwa kazi

Vyama vya wafanyakazi navyo vinazidi kuwanyonya wafanyakazi bila kuwapa msaada au kutetea haki za wafanyakazi

hiyo ESS bado haina msaada kwa mfanyakazi katika baadhi ya vipengele
Ule mfumo ni uhuni wakufichia stahiki za mtumishi asizipate kwa wakati kwanza mpaka leo kuna baadhi ya HR hawauelewi unawachenga huo mfumo na tayali umeshaonyesha una changamoto haiwezekani mtumishi score zake anaona 100% arafu boss uko anaona 43% si kituko hicho

Haya vyama vya wafanyakazi navyo baada ya kutetea maslahi ya mtumishi vimegeuka kuwa chawa wa mwajiri
 
Back
Top Bottom