Watumishi wa TZ ni watumwa kwa hiari zao, wengi wanaona kupata kazi serikalini ni kama bahati wanaogopa kufukuzwa kazi
Vyama vya wafanyakazi navyo vinazidi kuwanyonya wafanyakazi bila kuwapa msaada au kutetea haki za wafanyakazi
hiyo ESS bado haina msaada kwa mfanyakazi katika baadhi ya vipengele