Mpaka leo Watu weusi ni Watumwa tuKwani hata leo WAAFRIKA tuna akili...?
Ubaguzi wa kisiasa unaharibu maana, kwanza ondoa neno mbwa kwa binadamu mwenzako, pili kwa sababu zako binafsi umekwepa kuwahusisha waarabu ambao walihusika kwa kiasi kikubwa hapa kwetu. Inawezekana ukwepaji wako una uhusiano wa kidini. Mwisho hapa kwetu wanaotumia risasi za moto kupiga watanzania wasio na silaha ni nani, wazungu?Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa
anamtoboa enka.., u neva know..!
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
Huyo MZee kichwa ile mbaya ..anaitwa doctor ..Lumumba toka kenye ..nakumbuka kipindi kile cha jk cha rasimu ya katiba alishawahi kushiriki katika mkutano wa mchakato wa katiba na kutoa hotuba moja matata sana pale UDSMSina agenda yoyote..., ila kiukweli ni kwamba waafrika bado ni watumwa..., waulize CCM watakuambia ni kweli au sio...
=====================================
Yaani huyu mzee ni level za Nyerere kabisa, anaitwa nani huyu?
huko mkuu " mie nilishajitoa katika hzo dini sitaki kabisa kuwasikia hao watu ..washenzi wakubwa laana iwe juu yaoNafikiria kuwa nå iman yangu kivyangu vyangu. Ctak Kuwa mtumwa. Sitaki tena kufuata utumwa wa kizungu nå kiarab. Nataka kujitambua Mimi kama mimi
naam waliwatesa sana ndugu zao Hawa manyang'au ..baada ya utawala wao kuporomoka ndio USA NA USSR wkaamua kujimilikisha corea kusini na corea kaskazini" na huyo Japan alishawahi kuwa super power namba moja duniani...alikuwa anatoa mkong'oto mwanzo mwishowajapani waliwatawala wakorea pamaja na mataifa mengine ya asia nao vitendo vyao vilikuwa sawa na vya manyan'gau warabu+wazungu,soma historia
Akili kubwa hii"" notedWakuu,
Mwelekeo tu wa thread hii,unaonyesha wazi kuwa WAAFRIKA TUNA MATATIZO ndani ya vichwa vyetu!
Hapa mleta hoja alikuwa anatuamsha na tuone jinsi hawa wakoloni walivyotufanya wanyama na kutushawishi tujitambue!!
Cha ajabu eti badala ya KUUNGANA na kupeana moyo na kuzikataa hila zote za kikoloni dhidi yetu kuwa sisi si watu,eti tunagombanana sisi kwa sisi tukitetea MABWANA ZETU waliowafanya babu zetu watumwa!!!!#!
Hivi kama dini zao zinatufanya tuwe hivi,kwa nini hatujiulizi UOVU wote waliouleta chini ya mwamvuli wa dini zao!!?
Mie nawaomba sana,linapokuja suala la UAFRICA wetu tuvue dini zetu pembeni na tupiganie utu wetu kama waafrika!!
May God bless AFRICA!
safi sana ...akili kubwa hiiMkuu,
Biashara bila soko haifanyiki!
Hao babu zetu waliwauza hao wenzao kutokana na nguvu wakoloni waliyokuwa nayo!
Na si kwamba ni babu zetu wote walihusika na biashara hiyo ,ni baadhi tu ambao walikuwa vibaraka wa hao wageni!!
Kwa hiyo suala la utumwa lilikuwa ni baya kwani lilikuwa linafanyika kwa kutumia nguvu na bila ya ridhaa ya yule anayefanywa mtumwa!
Na kushiriki kwa waafrika wenzetu kwenye biashara hiyo mbaya hakuifanyi biashara hiyo kuwa ilikuwa nzuri!
AFRICA kwanza!
interestingHapana sio kweli hata wanawake walipelekwa pia na ushahidi upo mwingi tu na huko Kuwait kulikuwa na mfalme mwafrika ambae mama yake alikuwa ni mtumwa na baba yake mwarabu View attachment 192960
Laani ipi tena hali wao ndo wanakufanya uishi hata smartphone utumiao wametengeneza waohuko mkuu " mie nilishajitoa katika hzo dini sitaki kabisa kuwasikia hao watu ..washenzi wakubwa laana iwe juu yao
hoja fikirishi hii"" mbaya zaidi tumekubali kuendelea kuzitumikia hizo dini pasipo kujua kuwa tunatumiwa...mimi na mambo tuko mbali mbali mnooo"" kama mchamungu na uleviSwali lako zuri sana! Hata mimi nikiwa mdogo nilishawahi kumuuliza babu yangu kua ni kwanini huku kanisani picha ninazoziona ukutani na mazabahuni kama vile zile picha za Mitume/Malaika/Yesu na Bikira Maria ni wazungu tu na picha ya Shetani ni kiumbe cheusi???
asante faidha ...nimekuelewa hapa vyema tu""Usiwasingizie wakoloni, biashara ya utumwa Afrika haikuanzia kwa wakoloni. Hivi umeshasoma kuhusu Ma chief waliokuwa na watumwa hapa hapa Afrika au bahati mbaya kwenye kiwango hicho hukufika?
Jee, hujasoma kuhusu ma Pyramid ambayo yapo Afrika yalijengwa na akina nani?
Jee, hujasoma kwenye vitbu vya dini kuwa hata Mtume Yusuf (Josef son of Jacob in the Bible) kuwa alikuchukuliwa utumwa Misr, ambayo ni Afrika?
Utakuta utumwa haukuanzia kwa mkoloni ulikuwepo hata hapa kwetu karne na karne kabla ya kutawaliwa na wageni.
Nnachokisema ni hiki, tatizo si biashara ya utumwa aliifanya nani au kwanini, ukianza kutafuta hayo utajikuta hata babu yako aliuza watumwa kwani kama hakuuza watumwa basi na wewe kwanini saa hizi usiwepo utumwani? Tatizo ni pale Waafrika tunapobaki na kukubali kuwa historia yetu imeanzia na kuishia utumwani, kutawaliwa na uhuru. La hasha, tuna historia kubwa na ndefu zaidi ya hiyo, tufunguke kuutafuta ukweli.
Walioiandika hii historia tunayojifunza hadi hii leo walikuwa na malengo yao, na malengo yao ni kuwafanya watu weusi kuwa ni duni daima milele. Mfano mzuri ni pale wanapomchora "Mungu" humfanya mweupe na ni mzungu na pale wanapomchora shetani humfanya mweusi. Hata malaika basi hakuna mweusi!
Fikiri.
wapo wengi mnooo"" tatizo hamtembei ili kuweza kujionea aisee..""Du kweli! Muarabu ndo alikuwa wakala wa kuchukua watumwa, na kwauza kwa mzungu, lakini uarabuni hakuna mtu mweusi, wala mabaki yake,
Ndo waliotuletea maendeleo pia,tazama waliyoyafanya ccm haifikii hata robo kwa mda mfupi waliokaa kuliko mda ambao tangu l Africa imepata Uhuru karibia miaka 70 sasa bado twajikongoja,usisome history iliyoandikwa kwa kuegemea upande mmoja mbaya,huwezi linganisha uchumi wa kikoloni,na uchumi wa baada ya Uhuru,enzi za ukoloni maisha yalikuwa bora na yenye uhakika kuanzia elimu kwa aliyeitaka,( elimu bora),matibabu bora,njaa haikuwepo watu walilazimishwa kulima, masoko ya mazao yalikuwa tele,ajira za mashambani,na viwandani zilikuwa tele hakukuwa na shida ya ajira,Uhuru wa kufanya biashara ulikuwa tele,ndo Maana kulikuwa na wafanyabiashara weusi wengi tu wakubwa,miji ilijengwa.nknaam waliwatesa sana ndugu zao Hawa manyang'au ..baada ya utawala wao kuporomoka ndio USA NA USSR wkaamua kujimilikisha corea kusini na corea kaskazini" na huyo Japan alishawahi kuwa super power namba moja duniani...alikuwa anatoa mkong'oto mwanzo mwisho
hiyo ndio mantiki ya utumwa wewe sasa mkuu"" yaani watu wana amino kuwa race za hao watu ni bora kiasi kwamba wanaanza kupingana wao kwa wao ambao mababu zao ndio victims wa huo utumwa """ hatari sana hii""Nilitegemea hii mada itaibua mjadala mmoja wenye uelekeo fikirishi sadly.watu wameishia kutetea mabwana zao tu(wazungu/ waarabu)
Hakuna mwarabu wala mzungu mwenye yupo tayari kumtetea mtu mweusi kama mnavyojipendekeza nyie humu hao jamaa zenu wote wanafiki tu.