Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Sio wazungu wote wana support ushoga,sasa sawa na mjinga kusema wasukuma wote wangombe,
Nikweli mkuu sio wote,, pia huwa nachukia sana kusemwa wasukuma, especially ukanda wa kaskazini wengi wao ama baadhi yao wanawasema vibaya wasukuma, huwa wananikera sana. Wabadilike