Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Ukitka kusema na mimi usithubutu kutetea miarabu mikatili hasa katika suala la utumwa. Akili zako kwenye dini . Dini yenyewe ya mashetani.

Kama huna hoja, naomba upite tu. Sitaki kusema na wewe.
Ukristo wenyewe ni upagani,, ukristo wenyewe ni waroma,nyinyo wengine ni watumwa wa kiroma,, dini zote hizi mbili mnazotamba nazo ni utumwa na mnadhililishwa,,
 
Hizo ni propaganda za kimagaharibi! kupotezea uhalali wa utumwa wa Mwafrica!! sababu unahusishwa na Unabii wa Biblia! hata wayahudi wa leo, (wazungu), wanasema waliuawa kinyama Ujermani, si kweli,

Matajiri hawa, sema mwenyewe nani atamuua tajiri aliye kamata uchumi wa Dunia? Rangi pekee iliyouzwa, ikapandishwa kwenye majahazi, km ilivo tabiriwa kwa kuvumilia shida za utumwa ni mtu mweusi tu!

wazungu mpaka leo wanatamani ile hali ya kuwa watumwa lkn hawawezi! wakipangwa kwenye mazingira machafu tu wanakufa faster! jua la saa sita mpaka kumi mzungu anakuwa dehydrated mpaka kifo, msipomtundikia maji haraka! sasa angalia machinga wanakula mwendo mpaka kibaha! jua joto vyote vyao!

Akilazwa Temeke Hosipital pale ward ya wanaume! lazima afe faster! akiwekwa sero za msimabazi atakufa kwa upele tu!! unaona mafua tu, yanavyo wamaliza km kuku!
Kaka ukubwa wa malalamiko yako haulingani na kiwango cha elimu yako.
1. Ukitaja bishara ya watumwa, Wazungu na Waarabu wanun uzi, sawa. Nani mwuzaji? Unaelezaje hao machifu na viongozi Waafrika waliotunza wafungwa na sehemu ya watu wao wenyewe kama watumwa, wakifurahi kupata nafasi ya kuwauza mara Wazungu na Waarabu walifika?

2. Unadai "Rangi pekee" na kukataa mfano Japani kuwatumia Wachina na Wakorea kama watumwa?? Basi huna aibu kupiga makelele katika jambo ambalo hujui kitu? Kila ambacho hujasikia lakini hupendi habari ni propaganda? Sawasawa mkuu, uhuru wa kuota ndoto ni haki ya kibinadamu! (ukipenda propaganda, angalia sababu kwa nini kundi kubwa la watu katika Ulaya MAshariki wanaitwa "Slavonic" ("slave people") hadi leo (pamoja na Warusi, Wapoland, Waukraine..) - "propaganda" inadai kwamba mababu yao miaka 1200 iliyopita walivindwa kama watumwa na kuuzwa kwa idadi kubwa kwa Waarabu na Waturuki... Ila kama ni ukweli unasemaje??)
 
Historia hiyo ya darasa la tano ilitungwa kwa matakwa ya hao weupe mzungu na mwarabu mweupe,,adui yako akuandie historia yako,,wehu mtupu
Kaka jazba yako inapitiwa tu na uhaba wa elimu na mantiki. Utueleze kidogo jinsi gani Wazungu na Waarabu wanaweza kupata msimamo wa pamoja? Mbona hatuoni msimamo huo wa pamoja duniani (nje ya vitabu vya shule vya Tanzania, unavyosema? Kwa nini hapa??) . Kwa nini tunaona tu fitina na "clash of civilizations" kati ya Wazungu na Waarabu (isipokuwa katika vitabu vya shule vya Tanzania, unavyosema?)
 
Kaka ukubwa wa malalamiko yako haulingani na kiwango cha elimu yako.
1. Ukitaja bishara ya watumwa, Wazungu na Waarabu wanun uzi, sawa. Nani mwuzaji? Unaelezaje hao machifu na viongozi Waafrika waliotunza wafungwa na sehemu ya watu wao wenyewe kama watumwa, wakifurahi kupata nafasi ya kuwauza mara Wazungu na Waarabu walifika?

2. Unadai "Rangi pekee" na kukataa mfano Japani kuwatumia Wachina na Wakorea kama watumwa?? Basi huna aibu kupiga makelele katika jambo ambalo hujui kitu? Kila ambacho hujasikia lakini hupendi habari ni propaganda? Sawasawa mkuu, uhuru wa kuota ndoto ni haki ya kibinadamu! (ukipenda propaganda, angalia sababu kwa nini kundi kubwa la watu katika Ulaya MAshariki wanaitwa "Slavonic" ("slave people") hadi leo (pamoja na Warusi, Wapoland, Waukraine..) - "propaganda" inadai kwamba mababu yao miaka 1200 iliyopita walivindwa kama watumwa na kuuzwa kwa idadi kubwa kwa Waarabu na Waturuki... Ila kama ni ukweli unasemaje??)
Ukubwa wa Elimu yangu huujui kaka, umeamua kutamka tu!

Mwuzaji kama machifu wa kiafrica, walishawishiwa na, wafanya bishara Wazungu, kwa vitisho au kupewa, Mali, pombe na siraha km Bunduki, Mizinga, ili kuvamia falme nyingine, zilizo kuwa dhaifu,

Mpaka leo wanafanya ivo km unabisha Lisu anakuja kukuongoza subiri uone picha kamili! hapo unapoishi kuna Platinum utaondolewa km mvamizi tu! tena sasa kwa Lisu atakuja Mjermani mwenyewe! ndo utajua Tanganyika ya mjermani au yako!

sometimes hata familia nyonge tu zilivamiwa kwa nguvu tu! chief akiwakatalia atachukuliwa yeye na familia yake! in fact walikuza soko hilo miaka hiyo na mpaka leo wanafanya ivo!! km hujui wanatuhitaji sana kuliko unavo dhania!!! kwa kisingizio cha ukimbizi!

Angalia wamesababisha wakimbizi maksudi tu, tena kwa kanda zote za Africa ili mkimbie kimbie tu mtajijenga saa ngapi? EA, hapa (Al- Shabab) analeta shida, Boko haramu! (W/ Africa hawali), na sasa Msumbiji hapo tayari, Tanzania ni kikwazo kwao!!

Hakuna tajiri Mwafrica mwenye nguvu za fedha kununua siraha nje, chakula, Matibabu, Escaping route to save heaven!! za hao magaidi hkn!! Naapa kwa jina la Yesu hakuna ,....... Al shaabbu wapigane!!

basi hapa ujue ndo tabia ileile walio tumia ya kukamata watumwa kwa kutumia wenyeji, kitukuu chako kitakacho rithi akili zako! kitahoji kuwa ilikuwa ni Waafrica wenyewe kwa wenyewe!! ni km

Aliye Muua Gadaffi siyo walibya!! lkn Historia itaandika ni walibya! Saddamu Hussein alinyongwa na Wa-Iraki kweli?? unaamini ivo kaka? Idd Amin hakuwa na Ubavu wa kumpindua Obote!! alisaidiwa na Israel!! zaidi akawageuka ndo maana hakukaa sana!

Ni kama unavoona leo ilivo, Ma Rais wengi wa Africa ya leo ni vibaraka wote tena, wakubwa na wanawekwa na Mataifa ya Magharibi au wafuate Siasa za kimagharibi hawana tofauti na Ma chief wa kale,

wale waliungwa mkono na wafanya Biashara za watumwa!!! tena hao hao wazungu wenyewe kina Willyberforce wakajidai wema eti wakawaamulia kukomesha utumwa! Mwee!! na mkatii sasa hapo nani alifanya bishara hiyo?

hawakukomesha ila walijiimalisha kwa Makoloni yao! na mkatii kwa nini hamkuwapinga kama mliweza kuuza watu si mlikuwa na hela za kutosha kuwapinga? au mlikuwa mnawapa bure hao watu,

kwa nini hamkuwakataa wakoloni kama machifiu weusi !!hela za kuuza watumwa si mlikuwa nazo? mpaka kesho! Bongo ni coloni la mjermani na anakuja soon! !

ukiwa Rais Lugumya kama Jiwe! Patrick Lumumba, Nyerere, Tafawa Balewa , Malcom x, Muammar Gaddafi huyu alifika mbali mpaka akachana katiba ya UNO hadharani, Martin Luther wa USA, nk! ni wengi mno!

Haki ya Mungu! ukiwa km hawa? cha moto utakiona, hivi unajua Jiwe yuko wapi? kiburi cha kujiona eti waafrica tuna mali nyingi tunaweza kujitegemea na kweli akakusanya kodi na kununua midege 12 cash bila change! na

kutokuhudhuria maksudi vikao vya UNGA, tena kwa kejeli mbaya! kili mcost Mazima, tena aliwadharau waziwazi, bila kificho!! na kuwaita wezi wa dhahabu, tu! matajiri akawapuuza! wakamtumia Lisu kumwelimisha kuliko unavoweza dhania!! yuko wapi leo?

Hata ivo walikuwepo machifu wenye Roho mbaya, km Ganga zomba!! Tip tip! ambao waliwaonea watu wao! km unavoona leo wachawi ndg kwenye familia yako ambao hawakupendi tu bila sababu!

tena siyo wa mbali ni wa karibu mnoo! pengine shangazi yako anakuroga! hao wapo mpaka kesho humu na mnarogana kweli! sasa wa hivi atashindwaje kula deal na mkamata watumwa ili ukauzwe? tangu enzi za Biblia yapo hayo! km yusufu alivouzwa! na nduguze!

Ni sawa na Jiwe alivo mtandika shaba Lisu! maksudi tu! halafu akakaa kimya! Yule kijana wa kihindi katekwa maksudi tu! tena na weusi! serikali ikapiga kimya mpaka leo!! Mimi nikishika U-Rais nitaweka wazi haya yooote! sasa wkt wa utumwa ilikuwa ivoivo

Ila weupe ni wajanja wa kukwepa Lawama! ukiwa na akili isiyo pana utaona km weusi walijitakia wao! nikuulize ya leo uliyoona leo Gaddafi alijitakia? au

NATO ilikuwa na mkono pale?? hakuna Mwafrica/nchi yeyote iliyoweza kumtikisa Gaddafi! bila msaada wa weupe! lkn Historia itaandika Ni walibya wenyewe walifanya! basi na utumwa ivoivo! na

kule walikoishi watumwa weusi ndo pana Maendeleo hatari! yaani Super power countries zote zilifika hapo zilipo ajili ya Mtumwa mweusi tu! ndo zinasumbua mapaka kesho!!

ukiona Mweupe yeyote wanajifanya watumwa ni waongo wanatamani kuwa ivo ili wajihusishe na Taifa teule la Mungu ambalo lilipewa km adhabu ya kukosana na Mungu!!! Mchina hakumudu kazi za suruba mpaka leo! wewe umedanganywa sana rudi ukasome tena upya!

kilicho wa boost wachina ni Mapinduzi ya viwanda tu! km haitoshi watumwa wengi weusi walipelekwa Duniani kote ikiwemo china lkn huko pia weusi wengi waliuawa! New found Land ilifunga kazi! ajili vibarua wengi walihitajika ajili ya mashamba makubwa!

Wajapani wote asili yao ni uchina ya kusini, na Korea zote mbili tena wana fanana hasa! walikwenda na kurudi visiwani japani kidogo kidogo km wavuvi tu! baadae wakakomaa! wale wachina walikuwa watawaliwa lkn siyo watumwa! na

hata hao wachache walioonekana km watumwa hawaku treati-wa km waafrica walivo fanywa! kwa sababu walivo jaribu ivo walikufa km nzige! Ulaya yoote km ilivo asili yake ni Anglosaxson, Greek, Roma ya kale nchi hizi zilianza km vijiji vya wavuvi!

hao Slavonic walikuwa ni weusi kutokea mashariki ya kati! na pia kulikuwa na weusi majenerali wengi tu kwenye Jeshi la Alexander de great!

Sasa nakufundisha kitu adimu hakuna Taifa la Waarabu funguka! wale waarabu wako ni Machotara wa kiswahili na Wazungu! km ilivo kwa wagunya, wapemba wa bongo, coloured wa south! kwani unaona hawa wapemba wanawapenda muungano na weusi?

hata humu JF hakuna mpemba hata mmoja!! ukizaa na mpemba mama mweusi atafichwa ndani! hawajichanganyi kiviile na weusi kamwe!! watajitenga tu! kwenye jamii zao! ndo walivyo km mataifa yako hayo unayosema!

ile africa kaskazini yooote ni ya weusi ila hawa ndg zetu machotara hawatutaki! na iliwahi tabiriwa na Nabii Daniel kuwa ''km ilivo Udongo na madini ya Chuma havitashikamana kamwe!'' ndo km hii!! kamwe mweusi na mgunya hawataishi pamoja kiviile!

basi ndo waarabu wako hao na Africa ya weusi! wao wana ARAB LEAGUE! si unaona wengi wakutoka Iraq, Iran, wanakimbilia Ulaya japo hawakubariki!! Africa hawapataki wana chuki na Africa! ndo maana hawaitambuia AU,

Hata maudhurio yao waarabu ni hafifu mnoo! isipokuwa Gaddafi tu aliitambua na kuhudhuria vikao vyote! na kuingia pale ukumbini Ads ababa ni bure kwa wenye nia njema na Africa unasikiliza wee hata maswali unaruhusiwa kuuliza! kwa heshima zoote!
 
! wakipangwa kwenye mazingira machafu tu wanakufa faster! jua la saa sita mpaka kumi mzungu anakuwa dehydrated mpaka kifo, msipomtundikia maji haraka! sasa angalia machinga wanakula mwendo mpaka kibaha! jua joto vyote vyao!

Akilazwa Temeke Hosipital pale ward ya wanaume! lazima afe faster! akiwekwa sero za msimabazi atakufa kwa upele tu!! unaona mafua tu, yanavyo wamaliza km kuku!

Sio kweli bwana acha ku2ongopea,,, na corona mliongea sana but imetafuna sana wengi sana ,,

Refer migodini, viwandani n.k uone wa2 weupe wanapiga kazi,,, wenze2 wanatumia nguvu na akili. Kazi ngumu anayofanya mchina mbongo mapeema ashatepeta mammae.
 
Mie Siyo Muongo!! Bhana!!... najua!! nimewaishi mno! Km wanapiga kazi mbona wanatuhitaji, kupitia ukimbizi? walituhitaji, mpaka leo wanatutaka? watatuhitaji tu!! bila sisi wao hawana maisha!!

kwanza wao ni wachache hata kupigana miti tu ni mpaka mbinde!! lkn sisi km unacheza vile ! sasa tunawazidi idadi wamenuna!

kwa nini hawatuachii???/!! .............nakuhakikishia wakituacha tu km tulivo! hivi Africa ya weusi yooote! ni miaka ishirini tu tuko mbali mno kivingine! kuliko ivo vijiji vyao!! wao wanapendeleana, kila tukinyanyuka wanatufyeka wanavo jua wao!!

nina List kuuubwa sana ya wataalamu weusi walifyekwa mbaya kimya kimya mpaka leo!! Black Africans communities USA, wanabanwa kimya kimya, na wengi hawajui kusoma wala kuandika, mbali na wanasiasa weusi wenye Mrengo wa Kulia!

Wako humu wanazuga wanatafuta madini ni zuga tu ile!! wanawaminya mbupu! hao uliowaona viwandani walikuwa wanakuzuga tu!! angalia Darisalama Bongo yetu miaka hamsini tu ya uhuru NI Bonge la jiji! tumelijenga wenyewe weusi baada ya wao kuondoka!

Nchi nzima tuna pita kwenye Lami tupu kutoka Musoma, Bukoba mpakaaaa Mtwara hukoo! wao walikaa humu Miaka 200 hawakuyafanya haya pamoja na mijielimu yao!! Mapesa yao! na Ubabe wao! dogo tuko vizuri acha kabisa!! hao jmaa zako hawatuwezi

Wamemuua jiwe sababu tu hakuwashobokea! aliwakataa! yaani km wewe kwa msimamo huu watakupenda kweli mkuu! na kimke kidhungu plus u rais utapewa km mie muongo jaribu uone....
 
Mkuu,,china idadi yake inaweza pitiliza population ya Africa nzima,, ni wengi sana 😂 kwa ufupi wachina kwenye nguvu kazi na kuji2ma wako njema sana kuliko wazungu na waafrika
 
Mkuu,,china idadi yake inaweza pitiliza population ya Africa nzima,, ni wengi sana 😂 kwa ufupi wachina kwenye nguvu kazi na kuji2ma wako njema sana kuliko wazungu na waafrika
Wachina wakorea, wajapani, wahindi, japo hao kidooogo wan Melanin layers kiasi kuliko wazungu! lkn pia Westernized Nepotism ime playa a big role! kufika hapo walipo, na hawa ni hivi majuzi tu wameanza kuwa juu! kabla ya hapo sie tulikuwa mbali kuliko wao!

Lkn ni wororo ki mwili na ki- immunitities!! Possibly COVID, na magonjwa mengine yajayo yatawapukutisha zaidi! ni uzao ambao umekuwa Boosted sana, kwa muda Na madawa ya kuchochea via vya uzazi, mfano ni Unga unga wa pembe za faru!

wanautumia huu ku boost libido! via vyakula vyao!! na faru wanaishia!

Waafrica tuna jituma sana tena mnoo!! na tuna bahati ya Mafanikio mnooo! ila sasa tunabanwa kila kona akitokea kiongozi mjanja lazima auawe tu! wote walio kaa na sisi wakatuheshimu, wakatupenda japo kina fiki, leo hii wako mbali, Mfano ni USA, UK, France, na huko nako weusi walipelekwa wakafanya kazi za kitumwa! waliokwenda Uarabuni, china,nk umewahi kuwasikia?

angalia leo hizo nchi ni super power! Waarabu waliua sana weusi, mpaka leo hawawapendi kiviile weusi, lkn wako wapi? na jua by that time walikuwa na mafweza mingi! uwezo! kuliko nchi nyingi za Ulaya! ndo maana wewe ukienda Ulaya? israel utapokelewa vizuri kuliko uarabuni!
 
Mkuu,,acha kufananisha waarabu na hao makafiri wakiyahudi na wamagharibi ni mbingu na ardhi mzehe. Waarabu ni wa2 wema wala hawawezi fanana na hayo makafiri. Wawie radhi waarabu mkuu.
 
Mie Siyo Muongo!! Bhana!!... najua!! nimewaishi mno! Km wanapiga kazi mbona wanatuhitaji, kupitia ukimbizi? walituhitaji, mpaka leo wanatutaka? watatuhitaji tu!! bila sisi wao hawana maisha!!

kwanza wao ni wachache hata kupigana miti tu ni mpaka mbinde!! lkn sisi km unacheza vile ! sasa tunawazidi idadi wamenuna!

kwa nini hawatuachii???/!! .............nakuhakikishia wakituacha tu km tulivo! hivi Africa ya weusi yooote! ni miaka ishirini tu tuko mbali mno kivingine! kuliko ivo vijiji vyao!! wao wanapendeleana, kila tukinyanyuka wanatufyeka wanavo jua wao!!

nina List kuuubwa sana ya wataalamu weusi walifyekwa mbaya kimya kimya mpaka leo!! Black Africans communities USA, wanabanwa kimya kimya, na wengi hawajui kusoma wala kuandika, mbali na wanasiasa weusi wenye Mrengo wa Kulia!

Wako humu wanazuga wanatafuta madini ni zuga tu ile!! wanawaminya mbupu! hao uliowaona viwandani walikuwa wanakuzuga tu!! angalia Darisalama Bongo yetu miaka hamsini tu ya uhuru NI Bonge la jiji! tumelijenga wenyewe weusi baada ya wao kuondoka!

Nchi nzima tuna pita kwenye Lami tupu kutoka Musoma, Bukoba mpakaaaa Mtwara hukoo! wao walikaa humu Miaka 200 hawakuyafanya haya pamoja na mijielimu yao!! Mapesa yao! na Ubabe wao! dogo tuko vizuri acha kabisa!! hao jmaa zako hawatuwezi

Wamemuua jiwe sababu tu hakuwashobokea! aliwakataa! yaani km wewe kwa msimamo huu watakupenda kweli mkuu! na kimke kidhungu plus u rais utapewa km mie muongo jaribu uone....
Duuuuh!!
 
Ila jamani mimi niliishi Uarabuni miaka 3. Kiukweli waarabu wengi hawana u binadamu hasa kwa mtu mweusi. Bado wanaona mtu mweusi ni mtumwa tu. Nimeshuhudia mabinti wengi wadogo kutoka Africa hasa kutoka Ethiopia wanapoletwa uarabuni, ukiwakuta Airport kwakweli utaguswa tu maana nilishuhudia walikuwa kama 50 wanaongozwa kama ng, ombe na waliingizwa kwenye chumba kimoja nakufungiwa kumsubiria wakala aliyewaleta ili aje akamilishe taratibu za immigration halafu awagawe kwa watu walioweka order ya House girl.

Na kinachofanyika huyo Agent anachukuwa Passport zao ili wasiweze kutoroka. Hivyo hata apate mateso kiasi gani hataweza kuondoka hadi wakala aliyewaleta akubali. Na hata maslahi yake yote yanalipwa kwa huyo wakala ndipo alipwe yeye kiasi atakachopangiwa na huyo wakala.

Nilikuta kesi nyingi za nyuma za kuteswa na wengine kufariki kwakutupwa ngorofani na wake za matajiri zao wanapokuwa na hisia kuwa huenda wakafanya mapenzi na waume zao. Na kwavile nimeshaishi na wazungu basi kwa mtazamo wangu naona angalau Mzungu anathamini Utu na ubinadamu hata kama atakunyonya. Pia tukumbuke kuwa japokuwa biashara ya utumwa iliwanufaisha wazungu na waarabu lakini ni wazungu ndio walioanzisha campaign yakukomesha biashara hiyo. Mwarabu hakuwa hata na wazo hilo
Kusema kweli hakuna watu wakatili kama Waarabu na wabaguzi wakubwa.
Hakuna watu wanaokuwa na utu kama wazungu licha ya kwamba sio wote ila Wana uafadhali kidogo.
 
Kusema kweli hakuna watu wakatili kama Waarabu na wabaguzi wakubwa.
Hakuna watu wanaokuwa na utu kama wazungu licha ya kwamba sio wote ila Wana uafadhali kidogo.

Basi kaishinao wanaosapoti ushoga, tuachie sisi waarabu wetu wanaoheshimu na kuthamini watu

Bhujiku ng'waka
 
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.
Warabu ni moja ya jamii za hovyo kabisa
 
Warabu ni moja ya jamii za hovyo kabisa
Simba imedhaminiwa na Mwarabu.
Yanga inadhaminiwa na Mwarabu.
Azam wachezaji wanalipwa mshahara na Mwarabu.

Import and Export business Tanzania imeshikiliwa na waarabu.

Logistics & Transportation business Tanzania imeshikiliwa na waarabu

Biashara ya mafuta Tanzania imeshikiliwa na waarabu.

Kalagabaho na ujinga wako!!
 
Kusema kweli hakuna watu wakatili kama Waarabu na wabaguzi wakubwa.
Hakuna watu wanaokuwa na utu kama wazungu licha ya kwamba sio wote ila Wana uafadhali kidogo.
Simba inadhaminiwa na Mwarabu.
Yanga inadhaminiwa na Mwarabu.
Azam wachezaji wanalipwa mshahara na Mwarabu.

Import and Export business Tanzania imeshikiliwa na waarabu.

Logistics & Transportation business Tanzania imeshikiliwa na waarabu

Biashara ya mafuta Tanzania imeshikiliwa na waarabu.

Kalagabaho na ujinga wako!!
 
Simba inadhaminiwa na Mwarabu.
Yanga inadhaminiwa na Mwarabu.
Azam wachezaji wanalipwa mshahara na Mwarabu.

Import and Export business Tanzania imeshikiliwa na waarabu.

Logistics & Transportation business Tanzania imeshikiliwa na waarabu

Biashara ya mafuta Tanzania imeshikiliwa na waarabu.

Kalagabaho na ujinga wako!!
Waarabu wanadhamini kwa ajili ya profits, acha ujinga wewe unadhani wanatoa pesa Bure tu?
 
Back
Top Bottom