Utumwa hata Tanzania upo.Libya ndio kinara
wajapani waliwatawala wakorea pamaja na mataifa mengine ya asia nao vitendo vyao vilikuwa sawa na vya manyan'gau warabu+wazungu,soma historia
Kwenye suala la kutangaza uchumba bora hata mzungu kuliko hawa Waarabu, Wahindi, Wachina na mbilikimo wote wa far Easy.alafu bado kuna watu wanaamini kuwa wazungu na waarabu wanatupenda. ukitaka kuprove hili katangaze uchumba kutaka kuoa mwarabu uone reactions zao
mkuu Waarabu walikuwa ni wenyeji wa pwani ya bahari ya Hindi visiwaa vyote ndani ya bahari hii mwaeabu ndio alikuwa mtawala na mmiliki. ikumbukwe waarabu waliofanya biashara hii ni wale shombeshombe yaani baba Mwarabu ila mama ni Mnyamweiz kama vile Tipp Tip (Hemed bin Mohammed), Rumaliza na Mlozi hivyo waalikuwa na ufahamu mkubwa wa bara na pwani kwani hata wakati wako wadogo waliongozana na baba zao ktk biashara ya ivory.tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Bi ndogo ukiweka udini na uchama pembeni unapendeza sana umeongea ukweli acha nikupongeze hizi biashara bado zinaendelea kimtindo hapa kwetu ccm waifanya kivingineHata watu weusi walikuwa wanauzana wenyewe kwa wenyewe na mpaka leo bado wanauzana. Haikuwa monopoly ya Wazungu na Waarabu pekee.
Hata kizazi kijacho watakuja kutushanga kama sisi tunavyo shangaa utumwa kwa kutawaliwa na ccmniliona ile movie 12 years a slave ......
yaani mtu anapigwa halafu analazimishwa kusema jina lake la kiutumwa.
(Brain washed ) baada ya muda mtu anajiita mtumwa na anaamini alizaliwa kuwa mtumwa.
Ni kitu ambacho bado nakitafakari .
Wasomi wa mifumo ipi mkuu! Hiyo hiyo ya Kizungu?.At least waafrika wazamani walikuwa mbumbumbu wanaweza kujitetea kwa hilo,leo hii misomi mizima inashindana kuita wenzao tumbili kisa kagusa maslahi na kusema ukweli kuwa tumeibiwa na mhindi na wamatumbi wenzetu!!NAHISI WAAFRIKA TUMELAANIWA!!!!pamoja na mungu kutupendelea kwa kila kitu,kutuepusha na disaster za kila aina tumebaki tunaombaomba kama MATONYA!!! Bado tunawatukuza wale waliowalabua bakora babu zetu,waliowahasi babu zetu ile wasiwatafunie wake na watoto wao.IN SHORT mwarabu ni mshenzi sana ukitaka uhakika tafuta mwarabu mwafrika kwao humpati!!sababu ni kuwa wanaume wote waliwahasi kama maksai na kuwageuza nanihino!!!
Kama wanafanyiwa unyama! Kwa nini mpaka leo bado wanatamani kwenda kufanya hizo kazi?.Haijalishi ni nchi gani ya kiarabu. Hata kama sikuishi nchi zote za uarabuni ila nilichojifunza kwao ni kwamba mwarabu ni yule yule tu hasa mtizamo wake kwa mtu mweusi bado anamuona ni mtumwa kwake. Muarabu hana huruma hata kidogo. Nendeni ndipo mtaamini haya. Hata kama sio wewe ila utashuhudia mamia ya vijana kutoka Africa wanavyoishi. Wengine hawapo free hata kujichanganya na Blacks wenzao ambao wamekwenda kufanya kazi za heshima au ubalozini. Ukifuatilia ni kwanini wanakuwa hivyo unakuta eti wanawaogopa mabwana au waajiri wao.
Well said mkuuIla jamani mimi niliishi Uarabuni miaka 3. Kiukweli waarabu wengi hawana u binadamu hasa kwa mtu mweusi. Bado wanaona mtu mweusi ni mtumwa tu. Nimeshuhudia mabinti wengi wadogo kutoka Africa hasa kutoka Ethiopia wanapoletwa uarabuni, ukiwakuta Airport kwakweli utaguswa tu maana nilishuhudia walikuwa kama 50 wanaongozwa kama ng, ombe na waliingizwa kwenye chumba kimoja nakufungiwa kumsubiria wakala aliyewaleta ili aje akamilishe taratibu za immigration halafu awagawe kwa watu walioweka order ya House girl. Na kinachofanyika huyo Agent anachukuwa Passport zao ili wasiweze kutoroka. Hivyo hata apate mateso kiasi gani hataweza kuondoka hadi wakala aliyewaleta akubali. Na hata maslahi yake yote yanalipwa kwa huyo wakala ndipo alipwe yeye kiasi atakachopangiwa na huyo wakala. Nilikuta kesi nyingi za nyuma za kuteswa na wengine kufariki kwakutupwa ngorofani na wake za matajiri zao wanapokuwa na hisia kuwa huenda wakafanya mapenzi na waume zao. Na kwavile nimeshaishi na wazungu basi kwa mtazamo wangu naona angalau Mzungu anathamini Utu na ubinadamu hata kama atakunyonya. Pia tukumbuke kuwa japokuwa biashara ya utumwa iliwanufaisha wazungu na waarabu lakini ni wazungu ndio walioanzisha campaign yakukomesha biashara hiyo. Mwarabu hakuwa hata na wazo hilo
Wewe umeshachukua hatua?Naamini Mungu aliumba waafrika kuwa watumwa, kama sasa ilivyo. Tuna kila kitu ila hatuwezi kuchukua hatua...