Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna haja gani ya kuwa na magereza kama anayehukumu ni MUNGU?Hayo hayatuhusu atahukumiwa na Mungu wake
Kila mtu apambane na hali yake mkuuSijui kwa nini mliweka magereza. Utambue kule magerezani wapo waliotuhumiwa, walioonewa na waliokosa - ila hukumu ya haki ni ya Mungu tu.