Utunzaji wa kumbukumbu za viongozi ni utamaduni wa dunia nzima

Sawa maana hakuiba mali za umma, vipi ikiwa huyo kiongozi alikuwa mwizi wa mali za umma?
 
Sawa maana hakuiba mali za umma, vipi ikiwa huyo kiongozi alikuwa mwizi wa mali za umma?
Hayo hayatuhusu atahukumiwa na Mungu wake
 
Kuna haja gani ya kuwa na magereza kama anayehukumu ni MUNGU?
Sijui kwa nini mliweka magereza. Utambue kule magerezani wapo waliotuhumiwa, walioonewa na waliokosa - ila hukumu ya haki ni ya Mungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…